Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

Hii maana yake nini, maana yake ni kwamba pale waendesha mashitaka wanapolazimishwa ku-indict watu huku ikionekana wazi kesi haina "Merits" zozote kisheria basi tu ili mradi kutii amri kutoka juu. Very Shameful.
 
Hivi hakuna sheria ya kuyafunga yanayopeleka kesi za kipumbavu mahakamani? Ningekuwa hakimu najifanya sijui narifunga riporisi rimoja ili yaache ujinga!!
 
watoke nduki eneo la mahakama wasije kukamatwa tena, manaake akili za maafande zinawatosha wenyewe
Heko Mashujaa wetu! Mlisimamia ukweli na ahadi mlizotoa kwa wana JF na mkashitakiwa bure na mkashinda, maana ukweli siku zote hutamalaki! Huo uweledi mlioonyesha kutokutereka katika maadili ya tasnia ni wa kuigwa, hongereni tena!
 
Hukumu ya Kesi hii inatupa moyo sisi wana-Jamiiforums wenye nia njema kuendelea kujadili, kuwakilisha na kubadilishana mawazo bila woga maana Jamii Media italinda usiri wa wanaJamiiforums.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…