Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heko Mashujaa wetu! Mlisimamia ukweli na ahadi mlizotoa kwa wana JF na mkashitakiwa bure na mkashinda, maana ukweli siku zote hutamalaki! Huo uweledi mlioonyesha kutokutereka katika maadili ya tasnia ni wa kuigwa, hongereni tena!watoke nduki eneo la mahakama wasije kukamatwa tena, manaake akili za maafande zinawatosha wenyewe
Katika kesi hii, Polisi walitaka JamiiForums iwapatie taarifa za mwanzisha mada na mchangiaji mmoja ili waweze kuwakamata na kuwahoji kutokana na ukiukwaji wa taratibu, JamiiForums inadaiwa kuwa ilikataa kutoa taarifa binafsi za mwanachama wake kwa kuamini kuwa chanzo hiki cha taarifa kilikuwa na nia njema hivyo kutaka kwanza iwepo Hati ya Mahakama inayoridhia kukamatwa kwa mhusika na kuelezwa kosa lake.