Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

Mungu yu pamoja nasi
Kama wanaccm mnashindwa kuwaambia viongozi wenu kwamba waachane na JF huko chemba Mnakolipana posho basi mkija hapa na maneno mazuri mnaonekana wanafiki tu .

Fitna kwangu mwiko
 
Hongereni makomredi.... Moja ya kesi ya kijinga kuwahi kutokea ni hii.... Unamshtaki mtu anayemjua mtoa taharifa za uvunjifu wa sheria huku mvunja sheria hiyo akipeta bila hata kukamatwa na kuchunguzwa ijjulikane ukweli ni upi?
 
Kama wanaccm mnashindwa kuwaambia viongozi wenu kwamba waachane na JF huko chemba Mnakolipana posho basi mkija hapa na maneno mazuri mnaonekana wanafiki tu .

Fitna kwangu mwiko
Kwako wewe yoyote asiyekubali kuburuzwa na Mbowe ni ccm..!
 

Wera wera wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Kwako wewe yoyote asiyekubali kuburuzwa na Mbowe ni ccm..!
Kwi! Kwi! Kwi! Imegonga mfupa hiyo kudadeki ! Ifike wakati tuweke ukweli hata kama mchungu , nyinyi wanaccm mnaitumia jf lakini wakati huohuo chama chenu kinapambana kuimaliza na huku mnaangalia tu , tuwaeleweje ?
 
kesi zote za ajabu ajabu za kisiasasiasa zinatakiwa kufutwa kupunguza aibu.

The strategy doesn't work!
 
Privacy policy has been preserved accordingly! Good!
 
Wacha weeee! Kesi zote za JF zikiisha nitaverify ID yangu kwa jina langu halisi... Maana sasa uhuru wa habari utakuwa umerejea na wachambuzi tutakuwa salama.
 
Hongera Max na Micke kwa kutupambania daima tunatambua ushujaa wenu nasi tutaendelea kuchangia hapa kwa haki bila woga wala matusi ili kila raia achangie ujenzi wataifa lake kwa fikra pana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…