Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Shahidi: Taarifa tulizokuwa nazo alikuwa ni Miongoni Mwa Kundi ambalo lina fanya Njama Kwa Kufanya Vitendo Vya Kigaidi
linataka kufanya ama linafanya ? - kama linafanya basi ni lazima kikundi hicho kiwe na tools zote uwanjani zinazohusiana na ugaidi huo - shahidi tukisema uvionyeshe je mlivikamata eneo la tukio ?
 
Jaji: katika Kesi yoyote Mahakama haijui chochote, Bila nyinyi Kueleza Mahakama, Mahakama Imeelekezwa Kwamba Isiyapolee yanayo Vunja Sheria yoyote, Sioni Tatizo Kwa Mtobesya Kuzungumza alichozungumza na huwezi kujua atakitumia wapi.

Maneno mazito haya toka kwa jaji kwenda kwa mawakili wa serikali
 
Jaji ameingia..

Kesi inatajwa...

Quorum zipo vile vile...

Mtobesya: Shahidi Wakati Mnamkamata Ling'wenya ni taarifa zipi Mlikuwa nazo tayari?

Shahidi: Taarifa tulizokuwa nazo alikuwa ni Miongoni Mwa Kundi ambalo lina fanya Njama Kwa Kufanya Vitendo Vya Kigaidi ambavyo ni
Kushiriki katika Kulipua Vituo Vya kuuzia Mafuta

Kukata Miti na Kuweka Barabarani, Kulipua maeneo yenye Mkusanyiko wa watu na Kuhamasisha Maaandamano ya siyo na Kikomo.
Mtobesya: Ni hizo Taarifa tu au Mlikuwa na Zingine?

Shahidi: Kimyaaa

Mtobesya: Ni nani aliwasaidia Kuwapa Taarifa Mpaka Mkajua Eneo alilokuwa Ling'wenya?

Shahidi: Nilikuwa na Mkuu wangu Afande Kingai yeye Ndiye alikuwa anajua aliyekuwa nampa taarifa
Mtobesya: Nitakuwa sahihi Kwamba Mpelelezi yoyote kabla hajafanya Upelelezi anakuwa na dhana Kichwani unapoenda Field Unaenda kuthibitisha Kama ni Chanya au Hasi ni sahihi?

Shahidi: Ni sahihi

Mtobesya: Mueleze Mheshimiwa Jaji Kwenye Shauri hili Dhana yako ilikuwa ni nini
Shahidi: nilikuwa naenda Field Kuthibitisha tuhuma kama Mtuhumiwa huyo anahusika

Mtobesya: Mueleze Mheshimiwa Jaji ilichukua muda gani, tangu unatengeneza Dhana hiyo Mpaka Mnamkamata Ling'wenya

Kimyaaaaaaaaaa kinatawala kwa sekunde kadhaa hapa... Namna gani!
Jaji: anamuuliza Shahidi kama ameelewa Swali

Shahidi anapata kigugumizi kidogo anashindwa kuongea hapa..

Lakini anafanikiwa kuendelea..

Shahidi: Ni palepale nilipopata Taarifa na Kuanza Kutafakari na haikuchukua Muda Mrefu

Mtobesya: Mueleze Jaji Taarifa hizo ulizipata lini
Shahidi: Siku ya Tarehe 04 August 2020

MTOBESYA: na Ling'wenya Mlimkamata tarehe ngapi?

Shahidi: Naomba nirejee Nyuma ya Swali Lako ulilokuwa Umeniuliza

MTOBESYA: enheeeeeeee!
Shahidi: UMENIULIZA Iinachukua Muda gani Kuniwezesha Kwenda Field

Mtobesya: Sijakuuliza Swali hilo

Shahidi: Dhana ni Kama Kitu ambacho huna a Uhakika nacho

Mtobesya: Hapana namaanisha HYPOTHESIS, Mpelelezi Yoyote lazima awe na Hypothesis

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
Mtobesya: Nakurudisha Kwenye Swali Sasa, Je Mlimkamata lini Ling'wenya

Shahidi: Tarehe 05 August 2020

Mtobesya: Maelezo Ya Ling'wenya uliyaandika lini

Shahidi: Tarehe 07 August 2020

Mtobesya: Kwa hiyo nitakuwa Sasa Kwamba Wakati Unamuhoji ulikuwa na Taarifa

Shahidi: Hapana Sikuwa na Taarifa

Mtobesya: Siwezi Kukunyonga kwa Majibu yako. Haya Umesema Ling'wenya alikiri Kujihusisha Kufanya Vitendo hivyo ni Vipi

Shahidi: Kwamba kweli alijihusisha na Vitendo Vya kupanga Njama
Mtobesya: Nitakuwa sahihi nikisema Mpelelezi asiandike Maelezo ya Mtuhumiwa, Kwa sababu Mpelelezi anataarifa Nyingi Wakati anampeleleza?

Shahidi Hapana Siyo Sahihi

Mtobesya: Kwa hiyo pale ambapo Kuna Askari Mwingine na Mpelelezi Yupo Hairuhusiwi Askari Mwingine Kuchukua Maelezo
Kwamba Hamkuwezesha Kukutana na Ndugu..

Shahidi: Sahihi Sikusema
Mtobesya: Kwa hiyo tunakubaliana kwamba Nitakuwa sahihi nikisema Kwamba Mtu pekee anayejua kama Mtuhumiwa alikamatwa ni Nyie Mlimkamata, Yeye aliyekamatwa na Mtu aliyekamatwa Wakiwa Pamoja

Shahidi: Ni sahihi

Mtobesya: Unaelea nini Kuhusu Maelezo ya Onyo
Shahid: Ni yale yanayo chukuliwa Kuhusu Mtuhumiwa anahusishwa na Kutenda aina fulani ya Kosa

Mtobesya: Ni hivyo tu?

Shahidi: INATOSHA

Mtobesya: Nitakuwa Sahihi nikisema Maelezo ya Onyo Yanatakiwa Kuonyesha Mtuhumiwa Kosa analo tuhumiwa nalo

Shahidi: Ni sahihi
Mtobesya: Nitakuwa Sahihi Kwamba Kosa Unalomuonya Nalo ni lazima liwe limetamwaka Kwenye Sheria

Shahidi: Ni sahihi

Mtobesya: Nitakuwa Sahihi Kwamba Maelezo ya Onyo Yanatakiwa kuwa Sheria na inatakiwa Kuonyesha Kifungu Unachomuonya nacho

Shahidi: Siyo Kweli, unaweza Kumwambia Kwa Maneno tu

Mtobesya: Kwa hiyo siyo Muhimu Kumtajia Kifungu unacho Muonya nacho?

Shahidi: Ni Muhimu kwa Minajiri ya Kumuonya mshtakiwa Mwenyewe

Mtobesya: Kwa hiyo kwako wewe Siyo Muhimu

Shahidi: Nilisahau lakini nilikuwa nishamwambia

Mtobesya: Nitakuwa sahihi Kwamba ni Matakwa ya Kisheria, Baada ya zoezi la Kuonya Kuisha Tarehe, Mwaka na Muda lazima viwe katika fomu unayotumia Kumuonya

Shahidi: Ni sahihi

Mtobesya: na wewe Uliweka hivyo

Shahidi: Ndiyo Niliweka

Mtobesya: Tutaona baadae kama Uliweka
Mtobesya: na nitakuwa Sahihi Muda wa Kuonya Siyo Muda wa Kuchukua Maelezo, Unamuonya kwanza kisha Unamchukua Maelezo

Shahidi: Ni sahihi

Mtobesya: Kwa hiyo ni sahihi Kwamba muda wa Kuonya ni Tofauti na muda wa Kuchukua Maelezo

Shahidi: Ni sahihi
Mtobesya Twende kwenye Hitimisho la Kuandika Maelezo pale unapotakiwa Kuthibitisha

Nitakuwa Sahihi nikisema Ufungaji wa Maelezo ya onyo una namna Mbili au Tatu kwanza wa Mtu anaye Jua Kusoma na Kuandika na ameridhia Kwa anaye andika, ambaye ajui Kusoma na Kuandika au amekataa na Mwisho Mtu ambaye amekataa

Shahidi: Siyo Sahihi

Mtobesya: Haya tueleze Wewe Wa kwanza anathibitisha vipi

Shahidi: Yeye Mwenyewe anaandika Kwamba nimeyasoma na Kuyaelewa

Mtobesya: na hiyo inaonekana katika Statement uliyoiandika

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Mtobesya Twende kwenye Hitimisho la Kuandika Maelezo pale unapotakiwa Kuthibitisha Nitakuwa Sahihi nikisema Ufungaji wa Maelezo ya onyo una namna Mbili au Tatu kwanza wa Mtu anaye Jua Kusoma na Kuandika na ameridhia Kwa anaye andika, ambaye ajui Kusoma na Kuandika au amekataa na Mwisho Mtu ambaye amekataa Shahidi: Siyo Sahihi Mtobesya: Haya tueleze Wewe Wa kwanza anathibitisha vipi Shahidi: Yeye Mwenyewe anaandika Kwamba nimeyasoma na Kuyaelewa Mtobesya: na hiyo inaonekana katika Statement uliyoiandika Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa
Mtobesya: na wewe Mwenyewe Unaandika Je Mwishoni

Shahidi: Unathibitisha Kuandika Maelezo ya Mtuhumiwa huyo

Mtobesya: huyo ambaye amesoma na kuandika, anathibitisha Vipi..? KWA signature na Dole Gumba Maana havitumiki kwa Pamoja

Shahidi: Alisaini Pamoja na Dole Gumba

Mtobesya: Kule Chini Mnapoweka Ithibati Kuna Vifungu Mnaviandika

Shahidi: sahihi

Mtobesya: Mueleze Jaji kwenye Maelezo yenu Mlitumia Vifungu gani

Shahidi: Ilikuwa Imeshaandikwa Kwenye Karatasi, niliona hakuna haja ya Kuweka hiko Kifungu
Mtobesya: Kitaje Kifungu

Shahidi: Kilikuwa Kifungu Cha 57(3)

Mtobesya: Umekitaja Maana Yake unakifahamu Mueleze Mheshimiwa Jaji kama hicho Kifungu aya zake

Shahidi: Sikumbuki Kama Zipo hizo aya

Mtobesya: Mheshimiwa Jaji naomba nipatiwe ID 1

Mahakama inampatia Mtobesya ID1

Mtobesya: Na Kuonyesha Kielelezo Cha Mahakama Nikuulize Maswali Machache, Iambie Mahakama Kama Baada Onyo Uliweka Muda

Shahidi anakuwa mbishiiiii hapa, Mbishi, lakini Mwishoni anasema HAKUNA MUDA..
Mtobesya: tuonyeshe uthibitisho amesoma na Kuyaelewa Sehemu gani

Shahidi: Mtuhumiwa amesaini na Kuweka Dole Gumba

Mtobesya: na Kifungu cha Sheria

Shahidi: Ndiyo nimesema Kwamba Karatasi ilikuwa Tight sikupata nafasi ya kuweka
Mtobesya: Mueleze Mheshimiwa Jaji Pale ambapo Maelezo ya Mtuhumiwa anathibitisha Kuna Kifungu cha Sheria au Hakipo

Shahidi: Hakipo Kifungu cha Sheria
 
SEHEMU YA 2.

Baada ya Hatua hiyo, Mimi Nilisaini na Mtuhumiwa alisaini ilikuonyesha kwamba nilimuonya

: Baada ya akumaliza Hatua hiyo Mtuhumiwa Mohammed Abdilah Ling'wenya alimaarufu DOYI alijibu Onyo hilo

: Kwamba yeye Mohamed Abdilah Ling'wenya Alimaarufu DOYI ameonywa na Mimi ASP JUMANNE MALANGAHE anatuhumiwa kwa Kosa la Kula Njama kutenda Vitendo Vya Ugaidi Chini ya Sheria namba 24 ya Sheria ya Kupambama na Ugaidi, na Kwamba alazimishwi Kusema Lote isipokuwa kwa hiari Yake Mwenyewe

: Chocolate atakachoandika Linaweza Kutumika aka Ushahidi Mahakamani

: Na pia anaweza Kuwepo Mwanasheria Wake, Ndugu yake, Jamaa yake, au Rafiki ili ashuhudie Wakati Maelezo yake yakiandikwa

: Baada ya Mtuhumiwa kuulizwa Onyo hilo kama Yupo Tayari Kutoa Maelezo yake, Mtuhumiwa akajibu Ndiyo Nipo tayari

: Nilimuuliza nani awepo Wakati anatoa Maelezo yake, Mtuhumiwa alijibu yeye Mwenyewe anatosha Wakati wa Kutoa Maelezo yake

: Baada ya hapo alisaini na Mimi nikasaini

: Na baada ya hapo akawa tayari Kutoa Maelezo Yake

: Saa 2 na Dakika 20 nilianza kuandika Maelezo Ya Mtuhumiwa

: Wakili wa Serikali Wewe Ulifanya nini baada ya Yeye Kusema yupo tayari Kutoa Maelezo

: Shahidi Nilimuuliza Mtuhumiwa Ushiriki wake Kuhusu tuhuma nilizomueleza

: Nilimueleza akila anapohusika na ambapo yeye alikiri

: Wakili wa Serikali Wewe baada Kueleza ulifanya nini

: Shahidi Nilikuwa na andika Kwenye Karatasi, Fomu kile alichokuwa ananieleza

: Wakili wa Serikali Kilikuchukua amuda gani

: Shahidi Muda wa Masaa 2 na Dakika 42

: Wakili wa Serikali baada ya Kumalizia Kuandika Ulifanya nini

: Shahidi Nilimpatia Maelezo ayasome, ilikuweza Kuongeza, Kupunguza au Kufanya Marekebisho kwa yake aliyiyasema

: Wakili wa Serikali Baada ya Mtuhumiwa Kusoma Maelezo hayo akasemaje

: Shahidi Ameridhika na hana cha Kupunguza wala Kuongeza

: Wakili wa Serikali ULIFANYA NINI BAADA YA KUANDIKA

: Kibatala OBJECTION anachofanya Wakili anajua Hakiruhusiwi

: Wakili wa Serikali Baada ya kumaliza Kuandika Ulifanya nini

: Shahidi Alisaini na Mimi nikasaini

: Na baada ya hapo nikaandika Uthibitisho wangu Mimi Mwenyewe

INAENDELEA

[COLOR=rgba(var(--f52,142,142,142),1)]View all 2 comments[/COLOR]

[COLOR=rgba(var(--f52,142,142,142),1)]1 HOUR AGO[/COLOR]
SEHEMU YA 2.

Baada ya Hatua hiyo, Mimi Nilisaini na Mtuhumiwa alisaini ilikuonyesha kwamba nilimuonya

: Baada ya akumaliza Hatua hiyo Mtuhumiwa Mohammed Abdilah Ling'wenya alimaarufu DOYI alijibu Onyo hilo

: Kwamba yeye Mohamed Abdilah Ling'wenya Alimaarufu DOYI ameonywa na Mimi ASP JUMANNE MALANGAHE anatuhumiwa kwa Kosa la Kula Njama kutenda Vitendo Vya Ugaidi Chini ya Sheria namba 24 ya Sheria ya Kupambama na Ugaidi, na Kwamba alazimishwi Kusema Lote isipokuwa kwa hiari Yake Mwenyewe

: Chocolate atakachoandika Linaweza Kutumika aka Ushahidi Mahakamani

: Na pia anaweza Kuwepo Mwanasheria Wake, Ndugu yake, Jamaa yake, au Rafiki ili ashuhudie Wakati Maelezo yake yakiandikwa

: Baada ya Mtuhumiwa kuulizwa Onyo hilo kama Yupo Tayari Kutoa Maelezo yake, Mtuhumiwa akajibu Ndiyo Nipo tayari

: Nilimuuliza nani awepo Wakati anatoa Maelezo yake, Mtuhumiwa alijibu yeye Mwenyewe anatosha Wakati wa Kutoa Maelezo yake

: Baada ya hapo alisaini na Mimi nikasaini

: Na baada ya hapo akawa tayari Kutoa Maelezo Yake

: Saa 2 na Dakika 20 nilianza kuandika Maelezo Ya Mtuhumiwa

: Wakili wa Serikali Wewe Ulifanya nini baada ya Yeye Kusema yupo tayari Kutoa Maelezo

: Shahidi Nilimuuliza Mtuhumiwa Ushiriki wake Kuhusu tuhuma nilizomueleza

: Nilimueleza akila anapohusika na ambapo yeye alikiri

: Wakili wa Serikali Wewe baada Kueleza ulifanya nini

: Shahidi Nilikuwa na andika Kwenye Karatasi, Fomu kile alichokuwa ananieleza

: Wakili wa Serikali Kilikuchukua amuda gani

: Shahidi Muda wa Masaa 2 na Dakika 42

: Wakili wa Serikali baada ya Kumalizia Kuandika Ulifanya nini

: Shahidi Nilimpatia Maelezo ayasome, ilikuweza Kuongeza, Kupunguza au Kufanya Marekebisho kwa yake aliyiyasema

: Wakili wa Serikali Baada ya Mtuhumiwa Kusoma Maelezo hayo akasemaje

: Shahidi Ameridhika na hana cha Kupunguza wala Kuongeza

: Wakili wa Serikali ULIFANYA NINI BAADA YA KUANDIKA

: Kibatala OBJECTION anachofanya Wakili anajua Hakiruhusiwi

: Wakili wa Serikali Baada ya kumaliza Kuandika Ulifanya nini

: Shahidi Alisaini na Mimi nikasaini

: Na baada ya hapo nikaandika Uthibitisho wangu Mimi Mwenyewe

INAENDELEA

[COLOR=rgba(var(--f52,142,142,142),1)]View all 2 comments[/COLOR]

[COLOR=rgba(var(--f52,142,142,142),1)][COLOR=rgba(var(--f52,142,142,142),1)]1 HOUR AGO[/COLOR][/COLOR]

 
Uumenena vema mtumishi wapo makada Wa c cm wanafurahia anayotendewa mbowe hawajui baadaye yeye huyo mnyonge hana uwezo Wa mawakili imara kama mbowe yakimkumba yeye au mtoto wake itakuweje hii kesi ikiamuliwa vibaya ni msiba kwetu na vijukuu tusimamie. Haki na tuwe upande moja na wale wanaoonewa . mfano sabaya alikuwa anamfanyia mabaya mbowe ili yeye ajekupata wasifa Mkubwa mbeleni Leo yupo kisongo na bado anarundo la kesi tupendane na tuhurumiane
 

Mambo makini hayo.
 
Shahid kila swali anaulizwa anakaa kimya..anakaa kimya kwanini wakati yeye anajua? Kama sio kutunga. Watammaliza huyu, wakitoka kwenye kesi ndogo wanarudi kwenye kesi kubwa kumhoji Tena, akijichanganya tu huko amekwisha
 
Hizo ni mbinu za kimapambano, kumbuka hapa ni mpambano wa pande mbili, ndiyo maana jaji anatakiwa awe makini katika maamuzi, hao mawakili wa mbowe siyo wajinga, yawezekana kabisa wanajua jaji ataamua tofauti na kuyatupa mapingamizi. Yawezekana wakaja kuyatumia wakati wa rufaa endepo mteja wao jaji atamuona ana hatia. Siyo wajinga hao,nadhani wanatengeneza mazingira ya baadaye. Maana kila nikiona mapingamizi yao na sheria wanazozitaja, naona kama wanaadaa nguvu ya kesho.
 
Ivi majaji wanaosimamia hiii kesi wanaitwaje?
 

Swali zito hilo ! Tukichukulia kuwa ndugu wa watuhumiwa walilalamika hawajui walipo hata baada ya kuwafuatilia polisi na hospitali. Ni siku za baadaye sana ndiyo ndugu na wazazi walifanikiwa kuwaona macho kwa macho. Hayo tukisikia toka kwa mashahidi waliokwisha hojiwa mahakamani jinsi walivyohangaika kuwatafuta wapendwa wao.
 
Inavyoonekana hawa maaskari ni waongo,wanatoa ushaidi wa uongo na hii ni hatari make jamii inajua wanadanganya itafikia mahali watakuwa hawaaminiki
 
KAMWENEEEEE !!!
 
Mallya anamhoji shahidi

Mallya: Kabla hujahamia Arusha ulikuwa Ofisi ya Upelelezi Dar es Salaam

Shahidi: Sahihi

Mallya: Kwa Muda gani

Shahidi: Kwa Miaka 7

Mallya: Ni sahihi Ulikuwa katika Ofisi ya DCI

Shahidi: Ni sahihi

Mallya: Nitakuwa Sahihi nikisema Uinajua Dar es Salaam

Shahidi: Siyo Sahihi

Mallya: Ramadhan Kingai kabla hajawa RCO alikuwa Msaidizi wa ZCO Dar es Salaam

Shahidi: Ni Sahihi

Mallya: Kwenye Timu yenu nikisema kwenye timu yenu angalau Kuna watu Wawili Wa naijua Vizuri Dar es Salaam nitakuwa Sahihi

Shahidi: Siwezi Kusemea Wote

Mallya: Ofisi ya DCI ipo Katikati ya Jiji la Dar es Salaam au Sema Ipo wapi

Shahidi: Mtaa wa OHIO

Mallya: Makao Makuu ya Polisi Mpaka Dar es Salaam ni Umbali gani Kwa Kukadiria

Shahidi: Siwezi Kukadiria

Mallya: lakini Unajua Kuwa Makao Makuu ya Polisi na Polisi Mjini Kati Dar es Salaam Vipo Wilaya Moja

Shahidi: Sahihi

Mallya: Kituo cha Polisi Mbweni Unakifahamu

Shahidi: Nakifahamu

Mallya: Kituo cha Polisi cha Mbweni ni Kituo cha Wilaya ya Kipolisi Kawe

Shahidi: Sina Uhakika

Mallya: Kwamba Wakati Unapeleka Watuhumiwa Mbweni ulikuwa ujui Kuna Kituo cha Polisi Cha Wapi

Shahidi: Nilikuwa najua ni Kituo cha Polisi tuh

Mallya: Je Kuna Kesi yoyote Umeshawahi Kusikia kwamba Kuna Mtu alienda Kutoa Taarifa Kwamba watuhumiwa wamekamatwa Ututajie

Shahidi: Ni Mambo ya siri

Mallya: nimesikia una Mwambia Mtobesya Wakati Mnawakamata Kipaumbele Kilikuwa Matukio yasitokee

Shahidi: Ni sahihi

Mallya: Ni sahihi Kwamba Wakati Wote Polisi mnapaswa Kutenda kazi Kwa Mujibu wa Sheria

Shahidi: kimyaaa

Mallya: Wakati mnapokea Simu ya Boaz Kwamba Mrudi Dar es Salaam ilikuwa Mkoa gani

Shahidi: Kilimanjaro Moshi

Mallya: kilichoWafanya Msiwaandike maelezo Muda huo ni nini baada ya Kuambiwa zoezi la Kuacha Kumtafuta Lijenje

Shahidi: Tulikuwa tunawahi Kuja Kuendelea Kuwatafuta Watuhumiwa Wengine Dar es Salaam na Kuendelea na Upelelezi

Mallya: Je Mohammed Ling'wenya alitishiwa au alitoa kwa hiari

Shahidi: Alitoa kwa Hiari

Mallya: Ulipata Kufahamu Kuwa Mohammed Ling'wenya alishawahi Kuwa Moshi

Shahidi: Nakumbuka alikwenda Mara Mbili

Mallya: alikaa kwa muda gani

Shahidi: alilala Siku Moja

Mallya: Wapi

Shahidi: Hotel ya Aishi

Mallya: Mlangoni au Bar?

Shahidi: alilala Ndani

Mallya: alikaa wapi

Shahidi: mara ya Pili alifika Aishi Hotel na Baadae katoka akawa anakaa Moshi Mpaka tunamkamata

Mallya: Usiku huo alikuwa ametokea Kulala wapi

Shahidi: Sikumbuki

Mallya: Kwa Kumbukumbu zako Mohammed Ling'wenya ni Mwenyeji wa wapi

Shahidi: Mtwara

Mallya: Wewe Umekaa Moshi kwa Muda gani

Shahidi:Nyakati mbalimbali na Mafunzo mbalimbali

Mallya: Ulielezea Mahakama Utafutaji wenu ulikuwa wa Namna gani

Shahidi: Tulikuwa tunafika Maeneo Mbalimbali

Mallya: Kwa Siku Ya Kwanza Pasua Mlienda Saa ngapi

Shahidi: Majira ya alasiri

Mallya: ambapo Exactly Mlipoanzia ni Wapi

Shahidi: Rau Madukani

Mallya: Kutoka Rau kwenda Moshi police Central ni Umbali wa Kilometers ngapi

Shahidi: Siwezi Kukadiria

Mallya: Mheshimiwa Jaji naomba Jibu lake Lirekodiwe

Mallya: Kutoka Rau Kwenda KCMC Mlitumia Muda gani

Shahidi: Dakika 15

Mallya: Baada ya KCMC Mlienda wapi..?

Shahidi: Tulirudi Mpaka Majengo

Mallya: Unaweza Kukadiria Kama Muda gani

Shahidi: Kwa sababu Hatukuwa na Mwendo Sana tuliitumia Walau Dakika 45

Mallya: Moja ya Tunachojivunia Wachaga Moshi haina Foleni, ila endelea tu kujibu , Baada ya Majengo Mlienda wapi

Shahidi: Tukaenda Pasua,

Mallya: Mie napajua Kote, Mlitumia Muda gani Kutoka Majengo kwenda Pasua

Shahidi: Sikumbuki Muda Exactly nilikuwa siangalii Muda

11.2K Tweets
Follow
See new Tweets


Follow
Martin Maranja Masese
@IAMartin_
MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep, Don't sink | Cogito, ergo sum | Fisted hand
Quarantineinstagram.com/martinmaranjam…Joined March 2010
1,177 Following
342.7K Followers
Tweets
Tweets & replies
Media
Likes
Martin Maranja Masese’s Tweets

Martin Maranja Masese
@IAMartin_
·
13m
Shahidi: Siwezi kuchora sababu Sikushuka Kwenye gari

Mallya: Baada ya Aishi Hotel Mkaenda wapi

Shahidi: Maeneo ya Boma Ng'ombe

Mallya: Mlitumia Muda gani Kufika BomaNg'ombe

Shahidi: Siwezi Kujua Muda nilitumia, Kikubwa tulichokiwa tunakifanya ni Kufanikisha Kazi yetu
2
25
202
Show this thread

Martin Maranja Masese
@IAMartin_
·
13m
Mallya: Ulipofika Aishi Mkafika Maeneo gani

Shahidi: Kingai aliingia Ka anaingia Ndani,

Mallya: Kwa hiyo ni Ushahidi Wako Kingai aliingia Ndani

Shahidi: hakuingia Ndani alielekea Sehemu ya Majengo

Mallya: Unaweza Kutuchorea Picha ya eneo la Aishi Hotel

Mallya: Ulikuwa ni Muda gani

Shahidi Ulikuwa Muda wa Jioni

Mallya Baada ya Kutoka Pasua Mkaenda wapi

Shahidi Machame, Aishi Hotel

Mallya Aishi ni Kitu gani Kijiji, Kata au Wapi

Shahidi Shahidi ni Hotel

Mallya: Ulipofika Aishi Mkafika Maeneo gani

Shahidi: Kingai aliingia Ka anaingia Ndani,

Mallya: Kwa hiyo ni Ushahidi Wako Kingai aliingia Ndani

Shahidi: hakuingia Ndani alielekea Sehemu ya Majengo

Mallya: Unaweza Kutuchorea Picha ya eneo la Aishi Hotel

Shahidi: Siwezi kuchora sababu Sikushuka Kwenye gari

Mallya: Baada ya Aishi Hotel Mkaenda wapi

Shahidi: Maeneo ya Boma Ng'ombe

Mallya: Mlitumia Muda gani Kufika BomaNg'ombe

Shahidi: Siwezi Kujua Muda nilitumia, Kikubwa tulichokiwa tunakifanya ni Kufanikisha Kazi yetu

Mallya: Baada Ya Boma Ng'ombe Mlienda wapi

Shahidi: Mbele ya Boma Ng'ombe Kama Unaenda Arusha, Tulifika Maeneo ambayo tulihisi kwamba tungeweza Kuwakuta

Mallya: Kwa hiyo Wewe Ulikuwa unajiongeza Kwenda Sehemu zingine ambazo watuhumiwa awajakutajia

Shahidi: Ni sahihi

Mallya: Kwa hiyo Siyo lazima uende na Watuhumiwa Kwa sababu Ulikuwa aukitajiwa Sehemu A Unaweza Kwemda sehemu B

Shahidi: Watuhumiwa walikuwa wanatusaidia na pia Tulikuwa hatumjui

Mallya: Baada ya Boma Mlienda wapi

Shahidi: Tulirudi Moshi

Mallya: Palikuwa na Mwanga au giza

Shahidi: Palikuwa peshaanza Giza

Mallya: Kwa Makadirio yako a kutoka Boma Mpaka Moshi ni Kilometer ngapi hivi

Shahidi: Inaweza Ikawa Kilometer 50 au Zaidi

Mallya: Nilikusikia unasema mlifika Moshi Sa 5 za Usiku

Shahidi: Saa 4 kwenda Saa 5

Mallya: Ulipata Kueleza Kwamba Kilichokufanya Usiandike Maelezo Muda huo ni nini

Shahidi: Nilishaeleza

Mallya: hivi Mbowe Ukifika Kumuhoji saa ngapi Za Usiku Vile..?

Jaji: Suala la Maelezo ya Mbowe havipo Katika Kesi Ndogo

Mallya: naomba Nimuachie Mwenzangu amallizie Kuuliza Machache
 
Shahidi ana hasira huyu, haelewi kabisa anaona maruwe ruwe
 
Sasa KAUNDA anamhoji Shahidi

KAUNDA: ulisema Ulipomkamata Mshitakiwa Wa 3 Ulimpeleka Central Police

Shahidi: Nili fikisha Kituoni

KAUNDA: Wakati huo Mlishafungua Kesi ya Madawa ya Kulevya

Shahidi: Ndiyo Unga Unaozaniwa kuwa madawa ya kulevya

KAUNDA: Wakati huo uliwaacha kwenye gari Muda wao wote wakiwa na Pingu Mikononi

Shahidi: Ndiyo

KAUNDA: haukuiambia Mahakama Kwamba ulipowarudisha ukiwafungulia Pingu

Shahidi: Ndiyo Sikusema

PAUL KAUNDA: na Hukusema Mahakamani Kwamba Uliwakabidhi Askari gani wa Chumba Cha Mashitaka kwa Majina yao na Force Namba zao

Shahidi: Sikuongozwa Kusema hivyo

PAUL KAUNDA: na Wala hujui Kilichotokea Kuanzia Muda unawakabidhi Watuhumiwa Muda Ule Usiku Mpaka Asubuhi

Shahidi: Sahihi
 
Sasa Fredrick Kihwelo anamhoji shahidi

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Sahihi kwamba wewe Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Arumeru

Shahidi: ni sahihi

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Kwamba wewe Kazi yako Kuwasimamia Kazi Askari wa Chini yako

Shahidi: sahihi

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Kwamba Jeshi la Polisi limewafukuza Askari Wanne na Wasaidizi wa Polisi wawili, Wamesimamishwa

Shahidi: sahihi

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Wewe ni Mmoja wa Polisi wasaidizi waliosimamishwa Kazi Arumeru

Shahidi: Ni Masuala ya kiutawala Siyo Kesi hii

KIHWELO: ni sahihi Mohammed Ling'wenya Mlimtafuta Kupitia Mitandao ya simu

Shahidi: Siyo Sahihi

KIHWELO: akitokea Mtu akasema Boazi aliitoa Malekezo Ya Watuhumiwa Kuletwa Dar es Salaam Siku ileile, Je Kati yake na wewe Nani atakuwa Muongo

Shahidi: Siwezi Kumsemea Mtu Mwingine

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Kwamba Watuhumiwa hawaKupokelewa Kituoni Moshi

Shahidi: Hakuna Utaratibu wa Kupokelewa Bali Kuna Sehemu ya kuandika Kuwakabidhi Watuhumiwa

KIHWELO: ni sahihi hapa Mahakamani hapa Kuna Nyaraka ya Kukabidhi watuhumiwa

Shahidi: Siwezi kulisemea

FREDRICK KIHWELO: nitakuwa Sahihi Nikisema Watuhumiwa waliingizwa Kituo cha Polisi Moshi Kwa Dhumuni la Kuwatesa

Shahidi: Utakuwa Haupo Sahihi

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Hukusaini Detention Register Wakati Unawakabidhi Watuhumiwa Kituo cha Polisi Moshi

Shahidi: NI SAHIHI

FREDRICK KIHWELO: ni sahihi Kwamba Watuhumiwa mliowakamata hawakuwa Wenyeji wa Moshi

Shahidi: Hautokuwa Sahihi

FREDRICK KIHWELO: una nyaraka Yoyote inayoonyesha Kwamba Mlipata BREAK DOWN Njia Panda Himo

Shahidi: Sina Kwa sababu Magari ya Serikali yana Utaratibu wake

FREDRICK KIHWELO: Akitokea Mtu akasema kwamba Central Police Dar es Salaam Siyo sehemu ya Kuhifadhi Watuhumiwa WA Ugaidi atakuwa sahihi

Shahidi: Sijui hilo

KIHWELO: Akitokea Mtu akasema Walipotoka Moshi Walifikia Polisi Tazara ambapo watuhumiwa wa ugaidi uhifadhiwa

Shahidi: Mimi Ndiyo nilikuwa na Watuhumiwa, Sikwenda Huko

KIHWELO: ni hayo tu

JAJI: Ingekuwa inaruhusiwa Ningekupigia makofi ila Upo Mahakamani, Umetumia muda Vizuri
 
Sasa Kibatala anamhoji shahidi

Jaji: Kibatala Muda Utakutosha?

Kibatala: Nitajitahidi

Kibatala: Shahidi Unafahamu Kwamba UGAIDI ni Kesi Kubwa Sana

Shahidi: Nafahamu

Kibatala: Je Ulichukua Maelezo Kwa kifungu cha 57(3)

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Je unafahamu Kwamba Kifungu Hicho Kinakuruhusu Kuchukua Record ya %Video au Sauti Wakati anakiri

Shahidi: Siyo lazima kutumia Hiyo

Kibatala: Sasa Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Palikuwa na fursa hiyo ya Kisheria lakini hukutumia kwa sababu fulani

Shahidi: Si kumwambia

Kibatala: Unafahamu Kwamba Mtu anapokiri Makosa yake Kuna hitaji la Kumpeleka Kwa Mlinzi wa Amani

Kibatala: Unafahamu Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Jaji Mkuu kwamba Mtu anapopelekwa kwa Mlinzi wa Amani kwanza anatakiwa Kumkagua Mtuhumiwa Kama ana majeraha

Shahidi: Nafahamu

Kibatala: Je Mohammed Ling'wenya alipelekwa Kwa Mlinzi wa Amani

Shahidi: Hapana

Kibatala: na Unafahamu Kwamba Kukiri Kwa Mohammed Ling'wenya Kulipaswa Kupelekwa Kwa Mlinzi Wa Amani

Shahidi: Nafahamu

Kibatala: Unafahamu na Hukumpeleka

Shahidi: Kimyaaaaa

Kibatala: Ulimpeleka Mohammed Ling'wenya Kwa Daktati Kuona Alikuwa na Majeraha

Shahidi: Hilo sina Jibu

Kibatala: Uliwaza Kumpeleka Mtuhumiwa Kwa Daktari Kuthibitisha Kwamba hana majeraha

Shahidi: Siyo Taratibu zangu za Kazi

Kibatala: Kuna sehemu kwenye CPA au PGO inakataza Wewe Kumpeleka Mtuhumiwa Kwa Daktari Kwa ajili ya kujiridhisha

Shahidi: Hapana

Kibatala: ili tuone kama Kweli Hamkuwa Mmetumia Muda huo Kuwatesa, je Dada wa Moses Lijenje Unamfahamu Jina lake

Shahidi: Simfahamu

Kibatala: Maelezo Yako ya Kuharibikiwa Gari Himo Kwenye Maelezo Yako Uliandika au Hukuandika

Shahidi: Sikuandika

Kibatala: Watuhumiwa Wanasema Mlipowatoa Moshi Mliwapeleka Tazara kisha Mbweni, Je Sababu za Kuwahamisha ni za Kiupelelezi au Kiusalama

Shahidi: Zote zote

Kibatala: Tuanze na suala la Upelelezi, Kama Mohammed Ling'wenya ameshakiri tayari uliogopa nini

Shahidi: Taarifa Kutoka Nje, Kuna wengine tulikuwa tunawatafuta

Kibatala: Ulimwambia Mheshimiwa Jaji Kwamba Walipokuwa Central walikuwa in ISOLATION na Watuhumiwa wengine?

Shahidi: Sikumwambia

Kibatala: Nimesikia Umesema Kwamba Sababu ya Kuwahamisha Watuhumiwa Kutoka Central Dar es Salaam kwenda Mbweni ni kwamba Watuhumiwa Walipo Dar es Salaam wasijue Kinacho endelea, Je Mbweni ni Mkoa gani

Shahidi: Ni Dar es Salaam

Kibatala: Unamfahamu Afisa wa Jeshi anaitwa Chuma Chugulu

Shahidi: Simfahamu

Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji kama Kule Arusha Kuna washitakiwa wa Ugaidi au hawapo

Shahidi: Wapo wapi

Kibatala: Gereza la Kisongo, Masheikh,

Shahidi: Wapo

Kibatala: Maelezo yao yalichukuliwa Dar es Salaam

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Je Kuna Kifungu chochote Cha Sheria ya Mwenendo Wa Makosa ya Jinai na PGO inayolazimisha Mtuhumiwa achukuliwe Maelezo Sehemu tu ambapo faili lilifunguliwa

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Na ulijua Kwamba Shauri hili litafika Mahakamani

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: na wewe Kama Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Arumeru(OC-CID), Jukumu lako ni Kufunga Mianya yote ya kuharibu kesi

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Mwambie Mheshimiwa Jaji kama Kuna sehemu yoyote Ambayo Umeonyesha Kwamba kama angekuwa Tayari ningempa Simu yake au Simu yangu awasiliane na Ndugu, Jamaa na Marafiki zake...

Shahidi: Sikusema

Kibatala: Kule Moshi, Nakuuliza Kuhusu Ufahamu wa Kuingia Na Kutoka Polisi Central Police.

Shahidi: Nafahamu kwa sababu nilisaini

Kibatala: Wewe Ndiye Uliyemuingiza Mohammed Ling'wenya na Kumtoa Mahabusu Moshi

Shahidi: nilikuwa na Afande Mahita

Jaji: liweke Vizuri hilo swali

Kibatala: Unataarifa sahihi Kuhusu Detention Register, Je Ulisaini Out Saa Ngapi,

Shahidi: Tarehe 06 Aug 2010 Saa 11 alfajiri

Kibatala: Kati yako wewe na Mahita nani alikuwa Custodian Officer wa Mohammed Ling'wenya

Shahidi: Mimi Mwenyewe

Kibatala: Aliyekimkabidhi Mohammed Ling'wenya pale CRO central.?

Shahidi: Mimi

Kibatala: Kingai alikwepo wakati mnawakabidhi polisi Central Dar es Salaam?

Shahidi: Ndiyo alikuwepo.... Lakiniiiiiiiiiiii

Kibatala: Hakuna cha lakiniiiiiiiiiiii hapa..

Kibatala: Wakati Unahojiwa na Wenzangu Kwamba Ulisema DCI BOAZI aliwambia kwamba Watuhumiwa Tuwapeleke Moshi

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Una' personal Knowledge ya Malekezo Ya DCI au Kingai Ndiye anayejua

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Kibatala: Naomba niishie hapo Mheshimiwa Jaji
 
Leeo akili zimemrudia sio?
 

Inafikirisha sana maelezo haya ya shahidi wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…