Acha utoto, umedhawahi kusikia neno 'investigation'?ilikua kesi rahisi mno. kwake kushinda manake hata angesimama kizimbanj angesema vijana niliowatuma hawakuwa wale ni wengine
niliwatuma vijana sita warefu waliojazia na sio wale
hakimu anafuta kesi
Adhabu ni ndogo sana hailingani na miaka wanayofungwa wabakaji kwa TZ plus hii ilikuwa ni gang-rape pamoja na kosa la ufiraji(ulawiti). Yaani wamelindwa kiaina na hii ni nguvu ya jimama jambazi Afande na system ya nchi inayolipa nguvu hilo Limavady jambazi Afande.Hapo angetiwa hatiani kwa kula njama ya kufanya uhalifu, ushahidi ni kauli yake hiyo
View attachment 3128927
Ingekuwa imeendeshwa kwa haki lazima wangefika kwa conditions za kupewa leniency kimtindo katika vifungo vyao.bado angeshinda unless aliowatuma wafike mahakaman
Maana yake angekiri kuwatuma hao vijana warefu tofauti na hao wakafanye uharifu?ilikua kesi rahisi mno. kwake kushinda manake hata angesimama kizimbanj angesema vijana niliowatuma hawakuwa wale ni wengine
niliwatuma vijana sita warefu waliojazia na sio wale
hakimu anafuta kesi
walio mshtaki wangeambiwa wakaMaana yake angekiri kuwatuma hao vijana warefu tofauti na hao wakafanye uharifu?
Unajua hata ABC za Sheria?
unaonekana mtoto mdogo sana kwenye sheria watu wanapangua kesi za ubakaji ,mauwaji ndan ya dkk sifuri alaah wewe unasema nn bwana mdogoAcha utoto, umedhawahi kusikia neno 'investigation'?
Unadhani kama upelelezi ungefanyika kweli na wale vijana wa yule mama wabakaji wakatoa ushirikiano asingefungwa. Mawasiliano ya simu zingechukuliwa printouts, wahuni wangeeleza their side of the story na lile mama Jambazi Afande lingesema upande wake then cross-examination yaani pangechimbika na mama lenu hilo lingeumbuka.
Itabidi waje kuthibitisha anachokisema, nawalioko gerezani wataletwa kutoa ushahidi, hawezi kuchomoka kama aliwatuma kweli.ilikua kesi rahisi mno. kwake kushinda manake hata angesimama kizimbanj angesema vijana niliowatuma hawakuwa wale ni wengine
niliwatuma vijana sita warefu waliojazia na sio wale
hakimu anafuta kesi