Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]umejitahid sana kuandika lakin nmeona upo usingizini pale uliposema hiyo rushwa gani ilotumika kuwahonga watu wote ulowataja, hujajua nguvu ya serikali bado ndo maana umeyasema hayo uloyasema. Sasa kwa taarifa yako nguvu ya serikali ni mara 100 zaid ya hivo virushwa ulivovitaja taja
 

Asante mkuu,
Na akija Rais mwingine atamrudishia kifungo chake.
 
Picha linaanza
...video za waafrika wakilawiti watoto zinaonekana marekani...
Linaendelea..
.....video inaonesha wanaongea kiswahili...
.....balozi za nchi za afrika mashariki zinaulizwa kama zitatambua rafudhi ya lugha inayoongea inatokea nchi gani...
.....inagundulika video hizo ni kutoka Tanzania....
.....wasanii nguza vick na familia yake wanahusishwa...
Picha linaendelea...
Utata wa kesi mahakamani
.....polisi wasema wamewahoji watoto ushahidi haujitoshelezi kuwafungulia kesi
......mara ushahid wa video kuoneshwa mahakamani
......mahakama kuchagua watu mahalumu kuitizama video ya ulawiti..waandishi wa habari kuzuiliwa..
......Babu seya kufungwa maisha

CHAKUSHANGAZA
Walisema video ilikutwa marekani inasambaa babu seya akifanya yake, chakushangaza mpaka leo hakuna mtanzania hata mmoja aliyewahi kusema ameiona hiyo video ya uchafu
Video ilipotea kama ndege ya malaysia....
THE END
 
Ulipowatembelea ulipata ukweli wa matendo yake??
 
Ongeza: akisaidiwa na mwalimu wa shule hiyo kuwapata wasichana, baadaye mwalimu huyo hajulikani yuko wapi
 
duuuu, kumbe walisemaga kuna video tena..?
 
Ongeza: akisaidiwa na mwalimu wa shule hiyo kuwapata wasichana, baadaye mwalimu huyo hajulikani yuko wapi
Hapo kwa mwalimu ndio ilileta shaka. Kama ni kweli vipi mwalimu aachiwe huru. Ila hili jambo hakuna anayejuwa ukweli tunatumia kila mtu uwezo wake wakufikiri. Sio jambo la kawaida mtu na family yake wafanye wote ushenzi huu pamoja ni strange real. Tanzania hii isivyokuwa na siri hata hao watoto wangejulikana leo. Ukweli ngumu kuelewa nyuma ya hili janga. Warudi nyumbani wakae kimya tu isije ikawapa matatizo. Mungu anajuwa yote na wao wenyewe.
 
Mambo ya kabati liko wapi siyo ushahidi! Katika mazingira hayo polisi wanaweza kwenda huko sehemu inayotajwa wakasoma ramani kisha kuwafundisha watoto!
Mungu ambariki sana rais wetu kwa kutoa msamaha! Kusamehe ni tabia ya Mungu na Mungu anapenda tusamehe! Na wewe ukisamehewa sameheka! Kama kweli ulitenda usirudie tena!
 
Huenda nisieleweke vyema lakini nitajitahidi maana Mimi sio mwandishi mzuri,Toka sakata lao lianze hatimaye kesi kisha hukumu yapo mengi nimekua nikiyasikia kuhusiana na huyu Mzee Pamoja na Wanaye,Ktk Uchaguzi uliomwingiza madarakani Dr.Magufuli Sote tulimsikia aliyekua Mgombea wa Chadema na Ukawa Mh.Lowasa akiahidi kumtoa Papii kocha binafsi ahadi hii ilinifikirisha sana Ukizingatia kua Lowasa amehudumu Serikalini kwa miaka mingi akihudumu ktk Nafasi mbali mbali mpaka kufikia Uwaziri mkuu kwa Wajuvi wa mambo kauli yake haikua yakubeza,Tatizo moja LA Nchi hii Mtu wa Darasa LA saba na Profesa au Dr.mwenye Phd wote wana uelewa sawa,nikatika kipindi hiki Tuliwasikia makada wengi wachama chetu wakitoa kejeri na matusi yakila aina huku wakijipa kazi yakuhukumu,Leo mwaka mmoja na miezi kadhaa Raisi na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi ametimiza ahadi ya Lowasa,Raisi ni Taasisi naamini kabla yakufanya uamzi huu ameshauriwa na Washauri wake,Nimalizia kwa kumshauri mtu Ndgu yngu mmoja ambae Magazeti yake yamekua yakiuza Mara kwa Mara kwa habari za huyu mzee angalau aandae matamasha na hela itakayopatikana apewe huyu mzee imsaidie ktk kipindi hiki cha mwanzo,Wafuasi wa vyama vya siasa muwe na akiba ya Maneno naomba kuwasilisha
 
Kesi ya watoto huendeshwa faragha.Ila kama unataka kujua ushahidi ulikuwaje,nenda mahakamani upate mwenendo mzima pamoja na nakala ya hukumu.
 
Mwaka 2015 Lowassa alivyosema angemtoa Babu Seya gerezani kwa kufuata sheria, vijana wa Lumumba WALIMSHAMBULIA sana.

Mwaka 2017 Mh Rais Magufuli amemtoa Babu Seya gerezani nimeona baadhi ya vijana wa Lumumba wameanza KUSHANGILIA.

Pale Kisutu kuna mtoto mmoja wakati anatoa ushahidi akaambiwa akamuonyeshe kwa kumshika babu Seya akaenda akamshika wakili Tena akafanywa hivyo 3 times! Kesi ilikuwa magumashi na Rais katumia mamlaka kuwaachia ! Ambaye hataki akiwemo Zitto akate rufaa! Hatutaki makelele hapa

Kuna vitu nawaza Kijinga! Hivi ni kweli hawa walioachiwa walistahili msamaha huu? Na kama ni kweli walitenda (makosa)Leo hii wazazi wa watoto wale wanajisikiaje! Na vipi kwa wafungwa wengine waliosingiziwa huku mikoani? Na walishahukumiwa maisha!

Kabisa ninajua na wale mashehe ni wakati sasa wa wao kuwa huru

Kama ningekuwa na uwezo hii kesi ingechunguzwa ili ijulikane kama babu seya alionewa au alistahili kufungwa. Ila ndio hivyo samaki ndani ya maji siku zinaenda

Hii nchi ukitaka kuishi kwa amani basi usiwe na internet na akili timamu.

mr mkiki.
 
CASE CLOSED ndugu!
Rais kwa mamlaka aliyopewa kikatiba, kawasamehe!!
Maskini Augustine Mrema hapati credit yoyote ktk hili wakati paroles zote zinaanzishwa nae na kupendekeza kwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…