Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Basi wamesamehewa tuwape benefit of dought ingawa Mahakama iliwatia hatiani
 
Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
Well trained! Ndo maana maneno yao yanafanana fanana. Anyway not a big deal now
 
Majina yanatajwa ila kuoneshwa hapana kisa mtawajua na ni watoto wataaribika saikolojia. Haya bhana
 
Mimi nitakua wa pili kutoka mwisho.. Yaani ukiamini wewe Mimi ndiyo nitafuatia.
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Walitetewa na jopo la mawakili wasomi wakiongozwa na Wakili Msomi Mabere Marandu wakashindwa kesi.Wakakata rufaa wakashindwa tena.
 
Kwa hiyo aliyekua anayafanya hayo ni Babu Seyer, sasa Papii alifikaje kwenye hiyo kesi??

Na hapo kwenye maelezo japo kiingereza kibovu sana (kilikuja kwa meli sio shida lol) hao watoto waliingiliwa zaidi ya mara moja sasa je waliwezaje kuhimili hayo maumivu bila wazazi wao kujua??
 
Nyerere alikuwa Dikteta sana kwa kuweka Sheria ya kumpa Rais haki ya kumsamehe Mtu Yeyote bila ya sharti lolote
 
Babu sea kama ni kwl alifanya hyo baasi laana itamtafuna mpaka atakopokufa kuwa huru kwake huenda ikawa adhabu kubwa sana
Acha kuwaombea mabaya kila MTU na njia yake

Usihukumu huna mamulaka ya kuhukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…