Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Muda kamwe ndio kila kitu.Sijui kama Babu Seya alilawiti au hakulawiti.

Ila nafsi yangu inanishuhudia ni ngumu baba na mwanaye kulawiti hasahasa kwa mtu mwenye akili timamu.

Nafurahi kaachiwa ila ipo siku ukweli itajulikana.
Huwezi jua jambo la mtu moyoni.

Nilipo kuwa nikisoma ushahidi wa hyo kesi....mwili wote ulisisimka jinsi ushahidi ulivyo tolewa....

Hadi nikahisi walikuwa labda wanatekeleza masharti ya mganga wao ili ktk mziki wao labda waendelee kuwa maarufu.....kweli nifikia kuwaza mbali sana.
 
Magufuli anachunguza sana hafanyi mambo kienyeji kaona wamebambikiwa akasema toooa wakatoka watu wenye roho mbaya hawtaki papy nguza awe nje

Magufuli anachunguza sana hafanyi mambo kienyeji kaona wamebambikiwa akasema toooa wakatoka watu wenye roho mbaya hawtaki papy nguza awe nje
 

Uko sawa mkuu lakini hali hii inaweza kujirudia hata kwako. Tusiwe watu wakusamehe vitu vya aina hii.
 
Hivi kuua na kubaka lipi ni kosa kubwa zaidi?
 
Achen kuamini case za kubambikizwa.
Unasemajeeee?

Kubambikizwa?

Na nani hasa na kwa kipi walichomfanyia mtu mpska awabambikizie kesi familia nzima.?

Inamaana hata majaji wetu walinunuliwa kutoa hukumu kama hiyo yenye kumaliza familia nzima ya mzee nguza?

Watanzania hatuna roho mbaya na ubaya kiasi cha KUBAMBIKIZIA kesi kubwa kama hiyo tena kwa familia nzima.
 
Inaonekana mwalimu aligeuka kuwa shahidi, kama ni mfuatiliaji wa kipindi cha forensic files utaelewa, Kuna mazingira inambidi mtuhumiwa anakuwa shahidi vinginevyo kushinda kesi inakuwa ngumu.
 
watoto 10 hawawezi kufanyiwa matendo hayo kirahisi namna hivyo.......hata kama si mwanasheria ukisoma hayo maelezo ya watoto unaona jinsi ulivyokosa mashiko....
 
Mkuu hongera kwa kuongea ukweli mchungu...

BINAFSI SIPINGI KUACHIWA KWAO ILA NACHOPINGA NI DHANA YA KUWA WALIONEWA NA KUSINGIZIWA NA KUBAMBIKIZWA KESI KISA MAPENZI...

hoja mtaani nyepesi ni kuwa alitembea na mama salma kikwete kisha jk akaamua kumfanyizia na akamfunga bab seya....Mbaya zaidi akamtungia wimbo...

sasa ukiwakumbusha kuwa jk hakumfunga babu seya kafungwa na mkapa mwaka 2004 ndio wanabaki wanashangaa...

na ukiwakumbusha kuwa jk hakuwa kipenzi cha mkapa kiasi kwamba wakakaa na kupanga kumfanyizia mbaya wake nao wanazidi kushangaa.

Ukweli ni kuwa walibaka na makosa walifanya na ukweli mwingine ni kuwa WAMEOMBA MSAMAHA WA DHATI NA WANASTAHILI KUSAMEHEWA....

ila ukweli mchungu kwa wana siasa hasa wa upinzani ni kuwa RAIS KATUMIA KATIBA KUWAACHIA WABAKAJI ILA HAJATUMIA KATIBA KUWAZUIA WANASIASA KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA.
 
watoto 10 hawawezi kufanyiwa matendo hayo kirahisi namna hivyo.......hata kama si mwanasheria ukisoma hayo maelezo ya watoto unaona jinsi ulivyokosa mashiko....
kuna wakati una akili sana...
 
Hii kesi imekatiwa rufaa nyingi sana...na majaji wamebaki na same rulling...
Imefanyiwa judicial review..imebaki hivyohivyo
Hawa jamaa walilawiti kutokana na ushahidi..sema wanasiasa wetu wanapenda kiki zisizo na maana
 
Mwaka 2008 niliishi nyumba moja na jaama aliyekutana na hawa jamaa gerezani na kwa maelezo yake walikuwa marafiki. Alikuwa anasimulia mengi ambayo siwezi eleza hapa kwa faida ya pande zote.
Then huna hata haja ya kupost ulichoandika
 
Ulikuwepo wakati wanabaka au ni majungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…