Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 649
Huwezi jua jambo la mtu moyoni.Muda kamwe ndio kila kitu.Sijui kama Babu Seya alilawiti au hakulawiti.
Ila nafsi yangu inanishuhudia ni ngumu baba na mwanaye kulawiti hasahasa kwa mtu mwenye akili timamu.
Nafurahi kaachiwa ila ipo siku ukweli itajulikana.
Nilipo kuwa nikisoma ushahidi wa hyo kesi....mwili wote ulisisimka jinsi ushahidi ulivyo tolewa....
Hadi nikahisi walikuwa labda wanatekeleza masharti ya mganga wao ili ktk mziki wao labda waendelee kuwa maarufu.....kweli nifikia kuwaza mbali sana.