infantrier
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 343
- 126
Hao watoto kwa sasa ni watu wazima, waitwe wahojiwe kiutu uzima kama ni kweli au walishinikizwa kumsingizia mzee wa watuUshahidi wote uliopo ni kwamba ni kweli hao Nguza na wanawe walifanya huo ufirauni. Sijui sababu yao ya kufanya hivyo ilikuwa nini. Wanaharakati wa haki za watoto na za binadamu walishiriki pia kwenye hiyo kesi, na kuna mafaili ya kutisha sana. Watoto waliofanyiwa hivyo wapo na walitoa ushahidi, ambao kisheria ili kulinda haki za mtoto aliyelawitiwa na kumkinga dhidi ya unyanyapaa, haipaswi kufanywa hadharani na wala majina yao hayatolewi kwenye vyombo vya habari. Mafaili ya Muhimbili walikopimiwa hao watoto na ripoti za madaktari zipo. Yaani hii ilikuwa soo, hawakuwa na jinsi ya kukwepa.
Na huy si wa kwanza. Miaka ya mwisho ya 1980's alitokea fundi mshona nguo akiitwa Ali Maumba, alikuwa akiwafanyia watoto mchezo huohuo, na alilawiti zaidi ya 100, ila wengine wazazi wao waliwazuia wasijitokeze ili kukwepa aibu kwa familia zao. Ile kesi Maumba alihukumiwa kifungo, lakini alipokata rufaa alishinda kutokana na ushahidi "dhaifu" wa madaktari. Na ile kesi ya Maumba hadi leo inatumika kama reference ya kuwakumbusha madaktari umuhimu wa "ushahidi wa kitaaluma" (expert witness) kuandikwa vizuri. Rafiki zangu wanaharakati wamei-cite mara nyingi sana kwenye papers zao.
Hii ya kina Babu Seya, wanasheria walijaribu sana wakakosa pa kutokea. Na hata wakati wa rufaa, haikuwezekana, akaendelea kubaki hatiani.
Hizo habari za kuwasingizia kina nani sijui ni uvumi tu, kungekuwa na ukweli tungeshapata japo chembe ya ushahidi. Hao mnaowataja wakati huo hawakuwa na mamlaka yoyote dhidi ya mahakama, na hata katika kesi hakuna wakili au yeyote aliyeleta ushahidi wa kuwahusisha. Kama ni rushwa, sijui ni rushwa gani watu wangetembeza kila mahali kuanzia kwa watoto wa shule ya msingi, walimu wao, wenyeviti wa serikali za mitaa, askari polisi kwenye posts hadi kwa waendesha mashtaka, wanaharakati wa haki za watoto, mawakili, wafanyakazi wa idara za hospitali (wauguzi, watu wa records, maabara,madaktari, ili ati wote wafoji habari zinazoendana), hakimu mkazi kisutu, majaji wa mahakama kuu, majaji waheshimiwa sana wa mahakama ya rufaa, woote hao utawahonga vipi? Kazi ya ku-organize na ku-stage plot kama hii ni kubwa na haiwezi kuwa siri, lazima ziwepo flaws, hata kama ni fiction unatunga wasomaji wataona tu uongo ulipo!
Kwa hiyo sioni cha kujadili kuhusu Babu Seya na wanawe, alipata haki yake ya fair trial, akawa convicted, na sheria ikachukua mkondo wake. Akatumia pia haki yake ya appeal, nako hatukusikia malalamiko ya unfair trial, akabakia guilty as charged. Basi.
Yule Mahita tulieambiwa kwenye magazeti ya udaku kwamba alizaa na house girl wake?Assalam aleykum ndg zanguni,leo nimekaa na kutafakali sana jinsi nchi yetu inavyokwenda,kuanzia uongozi wa chini(tawi) mpaka huko juu,kuna mambo mengi sana ya vioja yanayofanyika na serikali kukaa kimya ama kwa makusudi au kwa kujifanya hawaoni kwa kujua kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau.na kitu hicho kipo hapa JF,
Kitu ambacho kinaniuma siku zote na kitaendelea kuniuma ingawa kimetokea kitambo ni jinsi babu seya (nguza viking) na wanawe (papii kocha,nguza mbangu na francis) jinsi walivyohukumiwa kifungo kikubwa kwa sababu tu kesi ilikuwa imetengenezwa na kusimamiwa kidete na mabwana wakubwa wa serikali(mahita na wenzake),haiingii akilini mpaka leo kwa mtu ambaye anaitwa ALHAJI kumwadhibu mtu na familia yake tena kwa SABABU anataka kuilalisha DHINAA(kadhulumiwa kimada wake),
hili jambo ingawa limetokea kitambo lakini lazima tufahamu kuwa wale ni viumbe ambao wanateseka gerezani kwa kesi ya kubambikwa hivyo wanaJF lazima tuwe na utaratibu wa kuyakumbushia na kuendelea kuyakemea mabaya yote ya serikali bila kujali kuwa ni muda gani umepita!
Vipi kuhusu yule mwalimu aliyekuwa anawapeleka, iweje akaachiwa bila hatia?Guys ninarudia nimesoma faili zima. Jamaa walikuwa na hatia au niseme walikuwa wapumbavu kui9ngia kwenye mtego.
Kama ni mchongo waliingia kisawasawa. Naweza kuandika facts zaidi ila inategemea wewe una mtazamo upi.
Kumbuka hakimu anaangalia FACTS presented before him/her!!!! kuwa focused itakusaidia
Vipi kuhusu yule mwalimu aliyekuwa anawapeleka, iweje akaachiwa bila hatia?
Uzi una miaka 10 huu jf.
Sijui ni nani ameufukua
Kama hii kesi ingekuwa na ukweli yule mwalimu aliyekuwa akipeleka watoto kulawitiwa asingeachiwa kwasababu yeye ni mbakaji pia kasababisha watoto waharibikeRafiki ukijua ukweli kuhusu hiyo kesi, utaogopa hata kuishi Tanzania. Hii nchi mwenye nguvu akitaka ufungwe utafungwa tu.
Je mahakama za Tanzania zipo huru?Sawa kabisa, hivyo dhana ya kuwa in taifa la wasiojitambua inapata mashiko. Msamaha wa Rais hauna shida kwani anaweza kumsamehe yeyote lakini kama tuna hakika mahakama zilitenda haki basi hakukuwa na sababu ya kushangilia kuachiwa kwao bali ilitakiwa mambo hayo yaende kimya kwa ajili ya wahanga wa vitendo vile!
Haya maajabu yapo tz tu halafu mwl kowadi akaachiwa na kupewa ukubwa wa cwt kagerawatoto kumi kubakwa kwa siku tofuti tofauti na familia moja baba, mtoto ,mtoto harafu watu yaani majirani na watu wanaowazunguka {marafiki} wasijue mpaka serikali ijue duuuuuuh
mhn! haya ndugu bado tunakazi ndefu kupeleka injiliHuo msitari kutoka katika kitabu cha Illuminati ?
Biblia ya kawaida haikuandikwa hiyo.
So ukaamini sio?nilipata kuongea na mwanamuziki mmoja wa kikongo akaniambia kuwa vipimo vya daktari vilionesha kuwa hakuna mtoto aliyekuwa ameonesha ameingiliwa ,ila kuna mmoja alionekana ana uchafu sehemu za siri(na hii ni kutokana na kutojua jinsi ya kujiweka safi)
Uliona Mbali Mkubwame nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015
Kutokana na utata huu mi nabaki njia panda siendi kulia wala kushoto nachoshukuru wametoka tu.Mambo ambayo hukuwepo ni vigumu kuwa na uhakika nayo kwenye kila amuzi lililotolewa
Hayupon Rais duniani anayeweza kutoa msamaha kwa mtu aliyebaka, tena watoto. Jamami tuwe tunajiongeza, za kwako chnanganya na za mwenzio. Za kwako chnaganya na za yule aliyetoa msamah!Ukweli unajulikana... Ila kama ni kweli walibaka na wakawalawiti watoto wadogo.... Mh. Rais itakua hakuzitendea haki familia za watoto hao. Aidha vyovyote iwavo, mimi cungi mkono kabisa wananchi kuwafanyia shangwe watu hao wakati wakitoka gerezan.... Maana ni iman yangu kua hakuna mwananchi anaeufaham ukweli wa suala hili... Kushangilia kuachiwa huru kwa watu hawani kutojitambua kuliko chupa mipaka.
Nimekumiss BAKWafukua makaburi wa JF. Ulipotea humu.