Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Yote mawili yanatuhusu, ama tulidaganywa kuwa watuhumiwa walitenda kosa hilo au tulidanganywa kuwa watuhumiwa walionewa tu na kigogo mmoja. Lakini pia hatujitambui ndio maana kwa miaka yote hii tumekosa watu makini hasa waandishi wa habari wa kulichunguza jambo hili ili tupate ukweli hasa.
Waandishi wa habari? Unataka wapotezwe kama yule wa kibiti?
 
Aisee hao marry mbunki na isabela sasa hv ni videmu viko on fire kamoja kamemsliza mzumbe ,ni mzuri hatari ,jamaa yake aliyekua anamla anasema hakuna kitu kama hicho ila dogo ni fundi sn kitandani japo jamaa kaoa lkn haachi kwa huo mchepuko
Jaribu kukauliza vizuri katueleze japo ukweli kidogo.
 
Kwani Ben Saanane mmampeleka wapi? Kama mnaweza kusingizia kwamba Binadamu xyz amekufa na kuitangazia Dunia nzima kwamba ameuliwa na kwenda sijui kuibua miili baharini na kuchimbua makaburi ili kusema kwamba ni Ben Saanane ndiyo ameuliwa kumbe mmeficha, iweje ushangae mtu kufungwa kwa kosa ambalo hakulifanya? evil begets evil, na chadema na ni evil!
Yaani wewe ni kauzu kweli! Mbona umechanganya mambo hapa?
 
haki haipatikani kwa sheria tu Warumi 4:14 pia MUNGU humuhurumia yule atakaye kumuhurumia wala hafungwi na sheria, yeye hufanya njia pasipo na njia na hili ukitaka kuliona angalia ni wapi ulikwama ukapata utatuzi usiotegemea ndio utaona jinsi MUNGU alivyofanya, yeye ni wajuu sana. tuna kitu cha kujifunza katika hili hebu tuangalie mistari michache inayoweza kutusaidia.
  1. njooni tusemezane hata kama dhambi zenu ni kama nguo nyekundu ,zitageuka kuwa nyekundu kama theruji. isaya 1:18 inawezekana walipata muda walitubu na walimlilia MUNGU naye akawasamehe makosa yao yote.
  2. zaburi 51:5-11 hapa tunamuona jinsi mfalme Daudi anavyofanya toba kwa kosa lake alilofanya na tukitaka kuiona vizuri zaburi hii kwanini ilikuwepo tuitazame mwanzo wa kosa la Daudi 2samweli12:1-18
  3. isaya 55:6-11 mtafuteni BWANA akiwa anapatikana ......... hawa inawezekana walimtafuta na MUNGU akawaponya.
  4. habakuki 3:1-2 hata katika hasira BWANA ukumbuke rehema.
ipo mingi kwa bahati mbaya wachangiaji hawapendi kusoma vitu virefu hivyo unaweza usifikishe ujumbe lakini nashauri tutumie swala la hawa kutafakari MUNGU na kurekebisha maisha yetu tukiacha kukata tamaa kwa changamoto mbalimbali tulizonazo kwa kuwa hakuna jambo ambalo MUNGU wetu asiloliweza yeremia 32:26
 
Ushahidi wote uliopo ni kwamba ni kweli hao Nguza na wanawe walifanya huo ufirauni. Sijui sababu yao ya kufanya hivyo ilikuwa nini. Wanaharakati wa haki za watoto na za binadamu walishiriki pia kwenye hiyo kesi, na kuna mafaili ya kutisha sana. Watoto waliofanyiwa hivyo wapo na walitoa ushahidi, ambao kisheria ili kulinda haki za mtoto aliyelawitiwa na kumkinga dhidi ya unyanyapaa, haipaswi kufanywa hadharani na wala majina yao hayatolewi kwenye vyombo vya habari. Mafaili ya Muhimbili walikopimiwa hao watoto na ripoti za madaktari zipo. Yaani hii ilikuwa soo, hawakuwa na jinsi ya kukwepa.

Na huy si wa kwanza. Miaka ya mwisho ya 1980's alitokea fundi mshona nguo akiitwa Ali Maumba, alikuwa akiwafanyia watoto mchezo huohuo, na alilawiti zaidi ya 100, ila wengine wazazi wao waliwazuia wasijitokeze ili kukwepa aibu kwa familia zao. Ile kesi Maumba alihukumiwa kifungo, lakini alipokata rufaa alishinda kutokana na ushahidi "dhaifu" wa madaktari. Na ile kesi ya Maumba hadi leo inatumika kama reference ya kuwakumbusha madaktari umuhimu wa "ushahidi wa kitaaluma" (expert witness) kuandikwa vizuri. Rafiki zangu wanaharakati wamei-cite mara nyingi sana kwenye papers zao.

Hii ya kina Babu Seya, wanasheria walijaribu sana wakakosa pa kutokea. Na hata wakati wa rufaa, haikuwezekana, akaendelea kubaki hatiani.

Hizo habari za kuwasingizia kina nani sijui ni uvumi tu, kungekuwa na ukweli tungeshapata japo chembe ya ushahidi. Hao mnaowataja wakati huo hawakuwa na mamlaka yoyote dhidi ya mahakama, na hata katika kesi hakuna wakili au yeyote aliyeleta ushahidi wa kuwahusisha. Kama ni rushwa, sijui ni rushwa gani watu wangetembeza kila mahali kuanzia kwa watoto wa shule ya msingi, walimu wao, wenyeviti wa serikali za mitaa, askari polisi kwenye posts hadi kwa waendesha mashtaka, wanaharakati wa haki za watoto, mawakili, wafanyakazi wa idara za hospitali (wauguzi, watu wa records, maabara,madaktari, ili ati wote wafoji habari zinazoendana), hakimu mkazi kisutu, majaji wa mahakama kuu, majaji waheshimiwa sana wa mahakama ya rufaa, woote hao utawahonga vipi? Kazi ya ku-organize na ku-stage plot kama hii ni kubwa na haiwezi kuwa siri, lazima ziwepo flaws, hata kama ni fiction unatunga wasomaji wataona tu uongo ulipo!

Kwa hiyo sioni cha kujadili kuhusu Babu Seya na wanawe, alipata haki yake ya fair trial, akawa convicted, na sheria ikachukua mkondo wake. Akatumia pia haki yake ya appeal, nako hatukusikia malalamiko ya unfair trial, akabakia guilty as charged. Basi.
Aisee

Since October 13, 2007[emoji15]
 
Rudi kwa kwa mwalimu wako binti
sasa wewe mrembo, sijui kama umeelewa hata nilichoandika hapo. badala ya defence of "Autrefois convict" yeye amesema ni res judicata......wajinga kama wewe ndio mnatuaibisha wanasheria. tafuta kwenye criminal statutes zote uone kama kuna kitu kiniaitwa res judicata....ujinga ni mzigo mzito sana. jnenda section 280(1) CPA utakuta kitu kinaitwa Plea of autrefois convict. hio pekee ndo itamlinda. pardon ya president nao ni defense tosha. ukiona mzito kusoma hivyo vifungu ili akili yako ifunguke, basi wewe utakuwa malaya, acha shule katafute bwana uolewe.
 
Ushahidi wote uliopo ni kwamba ni kweli hao Nguza na wanawe walifanya huo ufirauni. Sijui sababu yao ya kufanya hivyo ilikuwa nini. Wanaharakati wa haki za watoto na za binadamu walishiriki pia kwenye hiyo kesi, na kuna mafaili ya kutisha sana. Watoto waliofanyiwa hivyo wapo na walitoa ushahidi, ambao kisheria ili kulinda haki za mtoto aliyelawitiwa na kumkinga dhidi ya unyanyapaa, haipaswi kufanywa hadharani na wala majina yao hayatolewi kwenye vyombo vya habari. Mafaili ya Muhimbili walikopimiwa hao watoto na ripoti za madaktari zipo. Yaani hii ilikuwa soo, hawakuwa na jinsi ya kukwepa.

Na huy si wa kwanza. Miaka ya mwisho ya 1980's alitokea fundi mshona nguo akiitwa Ali Maumba, alikuwa akiwafanyia watoto mchezo huohuo, na alilawiti zaidi ya 100, ila wengine wazazi wao waliwazuia wasijitokeze ili kukwepa aibu kwa familia zao. Ile kesi Maumba alihukumiwa kifungo, lakini alipokata rufaa alishinda kutokana na ushahidi "dhaifu" wa madaktari. Na ile kesi ya Maumba hadi leo inatumika kama reference ya kuwakumbusha madaktari umuhimu wa "ushahidi wa kitaaluma" (expert witness) kuandikwa vizuri. Rafiki zangu wanaharakati wamei-cite mara nyingi sana kwenye papers zao.

Hii ya kina Babu Seya, wanasheria walijaribu sana wakakosa pa kutokea. Na hata wakati wa rufaa, haikuwezekana, akaendelea kubaki hatiani.

Hizo habari za kuwasingizia kina nani sijui ni uvumi tu, kungekuwa na ukweli tungeshapata japo chembe ya ushahidi. Hao mnaowataja wakati huo hawakuwa na mamlaka yoyote dhidi ya mahakama, na hata katika kesi hakuna wakili au yeyote aliyeleta ushahidi wa kuwahusisha. Kama ni rushwa, sijui ni rushwa gani watu wangetembeza kila mahali kuanzia kwa watoto wa shule ya msingi, walimu wao, wenyeviti wa serikali za mitaa, askari polisi kwenye posts hadi kwa waendesha mashtaka, wanaharakati wa haki za watoto, mawakili, wafanyakazi wa idara za hospitali (wauguzi, watu wa records, maabara,madaktari, ili ati wote wafoji habari zinazoendana), hakimu mkazi kisutu, majaji wa mahakama kuu, majaji waheshimiwa sana wa mahakama ya rufaa, woote hao utawahonga vipi? Kazi ya ku-organize na ku-stage plot kama hii ni kubwa na haiwezi kuwa siri, lazima ziwepo flaws, hata kama ni fiction unatunga wasomaji wataona tu uongo ulipo!

Kwa hiyo sioni cha kujadili kuhusu Babu Seya na wanawe, alipata haki yake ya fair trial, akawa convicted, na sheria ikachukua mkondo wake. Akatumia pia haki yake ya appeal, nako hatukusikia malalamiko ya unfair trial, akabakia guilty as charged. Basi.
Asante mkuu info yako imejitosheleza kabisa, tunatumaini hawata ile kuwatazama tu watoto wadoogo! Iwe fundisho kwa wengine subirini embe dodo liive na na sio kulichuma kabla ya wakati wake...
 
Waandishi wa habari? Unataka wapotezwe kama yule wa kibiti?
Kama wanajeshi wafiavyo vitani na bado hawaachi kupambana vivyo hivyo waandishi wa habari wanapaswa kuchunguza habari kama hizi pasipo kuogopa yatakayo wakuta.
Ndio maana kwa nchi za wenzetu waandishi wa habari hutambuliwa kama mhimili wa nne wa serikali kwani husaidia kuibua,kukemea na kutokomeza uovu katika jamii.
 
Nashangaaa kuwaona Wapumbav wakiwashangiliaaaa hawa watu

Ova
Mkuu hata mimi nawashangaa wapumbavu ambao wanaamini kwamba Mtoto wa miaka saba hadi kumi katoka darasani akaenda kuziniwa na kulawitiwa tena sio na mtu mmoja na watu wawili baada ya hapo anavaa uniform yake anarudi darasani tena bila hata kuchechemea yaani huyu anayeamini hivyo ni mpumbavu wa kiwango cha juu, sijui mkuu wewe huyu unamuweka katika fungu gani hapo?
 
Maisha haya dah asubuhi anacheza mpira hajui hili wa lile mchana anapata msamaha na kuwa huru dah
 
CHANGAMOTO NI KWA WATOTO AMBAO KWA SASA WATAKUWA ABOVE 16YRS NAWAZAZI WAO WANAPO WAONA WABAYA WAO WAKO NJE YA JELA TULIAMINI KUWA SIYO RAHISI KUWASAMEHE WAUAJI WA AINA HII.. NAOSYLY NI MAJIRANI ZAO
Mkuu hawa watoto hawajui nini kilikuwa kinaendelea, kuhusu wazazi wanasikia aibu kubwa sana kwa jamii kwa ubaya waliomfanyia binadamu mwenzao na watoto wake kisa kuendekeza njaa
 
MBONA miminilisikia it was aliingia kwenye anga za someone mkubwa zaidi ya hao uliowataja?lets wait and see mayb kuna mwenye data zaidi
Mi nilisikia aliingia kwenye anga za mtemi wa enzi hizo.., kuna ukweli wowote?
 
  • Thanks
Reactions: 454
njooni tusemezane hata kama dhambi zenu ni kama nguo nyekundu ,zitageuka kuwa nyekundu kama theruji. isaya 1:18 inawezekana walipata muda walitubu na walimlilia MUNGU naye akawasamehe makosa yao yote.

Huo msitari kutoka katika kitabu cha Illuminati ?

Biblia ya kawaida haikuandikwa hiyo.
 
HIVI HAO WATOTO KAMA WALIANDALIWA (NAAMINI LEO NI WAKUBWA) WANAJISKIAJE KUSKIA HAO JAMAA WAMETOKA JELA? NAFS ZAO ZNAWASUTA BILA SHAKA

MIMI BINAFS SIAMIN KUWA MTOTO WA MIAKA 7 ANAWEZA KUFIRAUNIWA NA AKAWA MZMA..

KUSINGZIA KUNAUMA, HAO WATOTO KAMA KWELI WALIONGOPA, WATALIPA..
 
Back
Top Bottom