Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao.

Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu nimebaini kuhusu mashitaka walioshitakiwa nayo watuhumiwa maafande wa. Ubakaji.

Kwenye mashitaka waliyoshitakiwa nayo hakuna kosa la kurekodi maudhui yasiyofaa wala kosa la kusambaza picha chafu kinyume na sheria ya makosa ya mtandaoni, kifungu gani na sheria yamwaka gani
Pascal Mayalla atadadavua.

Kama wasingejirekodi na kusambaza hakuna ambaye angejua kuwa huyo binti alifanyiwa ukatili,maana huko mitaani matukio ya ulawiti yapo sana iwe kwa kubakwa au kwa hiari kinachokosekana ni ushahidi tu.

Msingi wa kesi hii upo hapo kwenye kurekodi na kusambaza maudhui yasiyofaa.lakini cha kushangaza watuhumiwa wameshitakiwa kwa makosa mawili tu,ubakaji na ulawiti,

Kesi imeshakosa nguvu, Charge sheet isipobadilishwa haki haitaonekana kutendeka,nina hofu simu ikiyorekodi na kusanbaza ni ya untouchable,

Huwezi kuprove kuwa binti alilawitiwa kwa tukio la miezi mitatu nyuma,
Ushahidi wa picha hauoneshi kuwa alikuwa akilawitiwa au kunajisiwa kwa njia ya kawaida , kosa la ulawiti hata bush lawyer analipangua,
La ubakaji hata mimi nalipangua,binti hakuripoti polisi,watasena ilikuwa biashara

Bila charge sheet kuongezewa mashitaka,bila Shangaxi afande kuunganishwa ba watuhumiwa Kwangu hiyo ni kama movie ya ngono tu, Porn stars😇 hakuna kesi hapo

Mwisho wa siku .....ngoja tuone
 
Pale kuna kosa kama 4
Ubakaji
Ulawiti
Kusambaza picha zenye maudhui yasioyofaa
Matumizi ya madawa ya kulevya

Wataalam wq masuala ya kijamii wana kitu kinaitwa "Crimes in the name of honour"
Ongezea na
5. Ngono ya makundi (gang rape)
6 kula njama za kutenda kosa
7 shambulio la mwili (walimtishia kwa chupa)
8. utekaji wa binadamu

ila
utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi
 
Pale kuna kosa kama 4
Ubakaji
Ulawiti
Kusambaza picha zenye maudhui yasioyofaa
Matumizi ya madawa ya kulevya

Wataalam wq masuala ya kijamii wana kitu kinaitwa "Crimes in the name of honour"
Ile charge sheet ya mchongo usikute simu iliyorekodi na kusambaza na aliyewatuma Mrs Untouchable
 
Wale hawatapatikana na hatia makosa ya ubakaji ama ulawiti.

Atleast wangeshtakiwa kwa kosa la kusambaza video chafu, hapa wangewapata na hatia.
Tukio limetokea miezi minne nyuma kuthibitisha kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile ni ngumu sana,inatakiwa ukitoka kulawitiwa breki ya kwanza police na hospitali
kuthibitisha,kesi ndogo sana hii
 
Back
Top Bottom