Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Ongezea na
5. Ngono ya makundi (gang rape)
6 kula njama za kutenda kosa
7 shambulio la mwili (walimtishia kwa chupa)
8. utekaji wa binadamu

ila
utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi
Tuendelee.
Udhalilishaji.
Ukatili wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.

Hawaa wakikaziwa ni miaka 100.
 
Kuprove kuwa alilawitiwa sio rahisi,mtu kuinamishwa dog style haina maana umelawitiwa,
Kwa hio Jamaa hawana kesi basi wawaachie tutamalizana nao mtaani mbinu yetu ni Ile Ile tu kuitia Mwizi anapigwa beto mpaka ije kugundulika sio Mwizi baadae sana Polisi waachieni hao Jamaa huku kuna kitu tunaita 'Mob Justice' tutamalizana nao Wananchi nyinyi si mmeshindwa hata Wezi mkiwaweka mahabusu mkiwaachia wakija kuiba tena tunawanyoosha halafu mnakuja kutoa maelezo huyu alikua mahabusu wa gereza fulani alipoachiwa akaja tena kuiba Wananchi wakapita nae sasa hao wajomba waachieni Sisi tumalizane nao huku mtaani
 
Unanitega bosi niseme ndio uniunganishe kwenye chain ya wasambazaji wa maudhui yasiyofaa?VIdeo imesambaa dunia nzima hakuna mtu hajaiona
Kwenye suala la usambazaji anayetafutwa huwa ni original source. Inawezekana simu iliyotekodi na kusambaza video ni ya "afande" asiyekamatika. Hii nchi ina mijitu ya ajabu sana.
 
Back
Top Bottom