Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Ni ujanja wa kijinga sana ule.. wanajuta sahiv mana maisha hapo yanaharibika kwa namna nyingi tu
Sio kuharibika tu kuna njemba zipo mtaani zinasubiria waachie halafu ziikosoe Serikali kua haikua sahihi hawa adhabu yao ilibidi iwe HII na sio vinginevyo sasa wawaachie waone kitakachowakuta
 
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watanzania ila wasomi wenyewe wanashindwa kutumia elimu yao.

Mimi darasa la saba B nilisoma shule ya Msingi Miburani pamoja na Mzee Magoma kuna kitu nimebaini kuhusu mashitaka walioshitakiwa nayo watuhumiwa maafande wa. Ubakaji.

Kwenye mashitaka waliyoshitakiwa nayo hakuna kosa la kurekodi maudhui yasiyofaa wala kosa la kusambaza picha chafu kinyume na sheria ya makosa ya mtandaoni,kifungu gani na sheria yamwaka gani
Pascal Mayalla atadadavua.

Kama wasingejirekodi na kusambaza hakuna ambaye angejua kuwa huyo binti alifanyiwa ukatili,maana huko mitaani matukio ya ulawiti yapo sana iwe kwa kubakwa au kwa hiari kinachokosekana ni ushahidi tu.

Msingi wa kesi hii upo hapo kwenye kurekodi na kusambaza maudhui yasiyofaa.lakini cha kushangaza watuhumiwa wameshitakiwa kwa makosa mawili tu,ubakaji na ulawiti,

Kesi imeshakosa nguvu,Charge sheet isipobadilishwa haki haitaonekana kutendeka,nina hofu simu ikiyorekodi na kusanbaza ni ya untouchable,

Huwezi kuprove kuwa binti alilawitiwa kwa tukio la miezi mitatu nyuma,
Ushahidi wa picha hauoneshi kuwa alikuwa akilawitiwa au kunajisiwa kwa njia ya kawaida , kosa la ulawiti hata bush lawyer analipangua,
La ubakaji hata mimi nalipangua,binti hakuripoti polisi,watasena ilikuwa biashara

Mwisho wa siku .....ngoja tuone
Halafu eti serikali sikivu.
 
Ikionekana ilikuwa ni makubaliano case closed,maana kunajisi sio kosa
Binti naye atakuwanajesi yakujibu,hii kesi ni tamu sana itajenga orecedent fulani sema inafanyikachamber badala ya open court
Kaonekana analazimishwa aombe msamaha kwa afande ,kaonekana akitukanwa matusi huku akitoshiwa kipigwa chupa ,sidhani kama kuna amelewano hayo
 
Kaonekana analazimishwa aombe msamaha kwa afande ,kaonekana akitukanwa matusi huku akitoshiwa kipigwa chupa ,sidhani kama kuna amelewano hayo
Bila huyo afande kukamatwa na kuunganishwa na watuhumiwa hamna kesi hapo,ni kama movie ya ngono tu za mitandaoni
 
Back
Top Bottom