Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Sio mm mkuu niliwh kusikia mtaalam kwa sheria kayachambua haya. Na kosa dogo hapo lina miaka 7 jela ambalo ni madawa ya kulevya madogo madogo kama bange

Kuprove kuwa walukuwa wametumia madawa ya kulevya hiyo siku sio rahisi,kuprove kuwa walimuingilia nyuma sio rahisi,
Labda gang rape
 
Pale kuna kosa kama 4
Ubakaji
Ulawiti
Kusambaza picha zenye maudhui yasioyofaa
Matumizi ya madawa ya kulevya

Wataalam wq masuala ya kijamii wana kitu kinaitwa "Crimes in the name of honour"
Kwenye madawa ya kulevya utathibitisha vipi? Lazima kuwepo na kizibiti halafu ithibitishwe na Ofisi ya mkemia mkuu wa Serikali kua ni madawa ya kulevya na ni aina gani.
 
Tukio limetokea miezi minne nyuma kuthibitisha kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile ni ngumu sana,inatakiwa ukitoka kulawitiwa breki ya kwanza police na hospitali
kuthibitisha,kesi ndogo sana hii
Kuna mama mwingine nimemuona EATV analaumu Mahakama kumuachia mtuhumiwa wa ubakaji.

Bila shaka kosa lilifanyika mwanzo baada ya tukio mtoto alienda kuoga, halafu wakaenda polisi, au alienda polisi halafu hawakwenda hospitali.
 
Mwamba Angu Dkt. Gwajima D anajua hili lakini? Wale wamefanya uhalifu kwa madai ya kumuheshimisha afande wao. Ile ni crimes in the name of honour.

Wanaharakati wanatakiwa waende mbali zaidi kwa kutoa elimu Kwa jamii Ili wajue namna ya kutunza ushahidi wa ukatili wa kingono.

Lakini pia wawe wanafuatilia aina ya mashitaka yanayofunguliwa.

Halafu kwenye kesi, Kuna baadhi ya watuhumiwa wanapaswa kuwa mashahidi.

Mfano kwenye hii kesi, wangemchukua jamaa mmoja akasaidiana na Shahid wa kwanza(Binti) Ili kujenga kesi.

Sasa bahati mbaya wote wamekuwa watuhumiwa huku Binti akibaki peke yake tena katika mazingira yasiyo rafiki.
 
Back
Top Bottom