Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Faida ya charges nyingini kuwa defendant anakuwa hana pa kuchomoka,ila hapo wakipangua tuhuma za ubakaji tu ,jioni tuko nao mbadani msalato tunakula nao nyama choma
 
Wapuuzi sana hao jamaa
 
Faida ya charges nyingini kuwa defendant anakuwa hana pa kuchomoka,ila hapo wakipangua tuhuma za ubakaji tu ,jioni tuko nao mbadani msalato tunakula nao nyama choma
Sasa bro akishinda kesi hiyo ya gang rape unaweza kumtia hatiani kwa kusambaza video ya ngono? Hapo akikushinda katika kesi ya msingi hata hizo ndogo maana yake anakushinda pia, ndo maana ni bora kufungua hizo kesi mbili za msingi kulawiti na gang rape na kuzitafutia ushahidi ulioshiba ambae shahidi wa kwanza ni victim
 
Victim anaweza kusema hawatambui watuhumiwa hapo mahakama ikapata kazi ya ziada..
 
Kuna kosa lingine la kula njama. Halipo kwenye charge sheet pia. Kuna mkono wa watu humo.
 
Hata mimi kuna sehemu nimedadavua kama hivyo. Inaelekea matendo haya yanaruhusiwa kwa baadhi ya watu hapa nchini hususani public figures wanaruhusiwa. Ngoja tuone mwisho wa drama hii.
 
Charge sheet inaruhusiwa kurekebishwa na kesi haijaisha bado iko mahakamani,think big broo
Najua charge sheet inaweza kuwa defective na ikafanyiwa amendment/alteration kama defect haijaenda to the root of the case.

But if the defect of charge goes to the root of the case hapo mahakama inaweza kuitupilia mbali kesi because it becomes incurable defect.
 
Sahihi kabisa mkuu.
Kumtia mtu hatiani lazma ufanye kazi ya ziada.
Kitu nilichogundua watz wengi hatujui mambo meng na huwa hatutaki kuuliza tumekaa kishabiki,ki hisia hisia na kulaumu laumu ndo maana issue kama hii mtu haelewi imekaaje.

Kama kungekuwa na issue ya mauaji hiyo kwa namna yoyote isingewekwa kando.

Shukran kwa kujazia nyama na kujenga ufahamu zaidi
 
Lakini ni precedent mbaya kwa nahakama,itaonekana kuwa kujirekodi na kusambaza picha chafu sio criminal offence
 
Lakini ni precedent mbaya kwa nahakama,itaonekana kuwa kujirekodi na kusambaza picha chafu sio criminal offence
Mkuu kutembea na kesi nyingi sana na kuichanganya na kesi nzito unatengeneza mwanya wa watu kuchomoka kiulaini ni kama kuwa na mashaidi lukuki wanaoelezea jambo moja.

Kuacha kesi moja si kumaanisha hilo si kosa ila unaangalia uzito na chance ya ushindi.
 
Sikia sasa, Charge ina makosa mawili la gang rape na kulawiti, Kuhusu kurecord wakati mnafanya hakuna sheria inazuia hilo kosa lipo kwenye kusambaza na hapa utata upo unawezaje kuthibitisha mahakamani pasi na shaka kwamba wao ndio walisambaza video? Nazani sababu ni hiyo ya kuacha hilo kosa lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…