Kesi ya Binti wa Yombo: Hati ya mashitaka imekosewa makusudi kuwaokoa watuhumiwa wa ubakaji?

Ilikuaje watu zaidi ya sita wakawa na akili zinazofanana za kufanya mambo Kama hayo
 
Ni kama yule askari wa Zenji alivyokutwa hana hatia. Yeye alisema tu yule mtu kwenye video clip sio yeye. Sasa una prove vipi ni yeye? Maana watu kufanana ni kawaida..
 
kwahiyo rpc yuko sahihi, ili iwe kesi ya ulawiti lazima mtendewa alalamike, na hakuna alipolalamika
 
kwahiyo rpc yuko sahihi, ili iwe kesi ya ulawiti lazima mtendewa alalamike, na hakuna alipolalamika
Yule binti ana miaka haipungui 18 angekuwa underage sawa,binti mzima anashindwa nini kuripoti uhalifu,na yeye ana kesi ya kujibu
 
Wale hawatapatikana na hatia makosa ya ubakaji ama ulawiti.

Atleast wangeshtakiwa kwa kosa la kusambaza video chafu, hapa wangewapata na hatia.
Watuhimiwa watatuka kisiasa mpaka mtashanga wakati wa uchaguzi mambo magumu yafuatayo yanaweza kutokea 1.
1. Kuachiwa na watakatiwa rufaa theni wakamatwe Tena kwa amri ya Mama ili watu wafurahi
2. Kufungwa ili kuleta trust kuaminiwa kwa viongozi ili wachaguliwe Tena .

Kifupi wakati huu mtu akileta mchezo anakwenda na maji maqna uchaguzi ndo huu utafanywa jukwaa la siasana siasa ndo maisha yetu.
 
Chawa at wk
 
Mnavyochambua sheria humu utadhani sio Nchi inayohangaika kuwalipa wahuni mabilioni kila kukicha kwenye mikataba ya kutengeneza..
 
Serikali inalinda turufu zake
 
Ongezea na
5. Ngono ya makundi (gang rape)
6 kula njama za kutenda kosa
7 shambulio la mwili (walimtishia kwa chupa)
8. utekaji wa binadamu

ila
utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi
9.walimnyima maji kabisa.
 
Muuaji anaweza akasema kaua watu 100 lakini mkawa na ushahidi usio na shaka wa mauaji mawili tu.

Hivyo mnastick na mawili pekee.

Tuache kuingilia fani za watu jamani.

Hiyo charge sheet si imesema kubaka? Binti si ni underage? Kisheria underage si kabakwa hata kama umemtongoza?

Videos si zinaonyesha watekelezaji tukio wakisema kwamba wamemlawiti? Na binti baadaye akasema hivyo?

Sijui unaelewa mzee?
 
Hv yule muhuni aliyesema ikifika zamu yake anaanza topeni au jokeri naye kaunganishwa au ndio huyo aliyesahaulika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…