Uzuri sio mwisho wa maisha yao, ingawa utakuwa mwisho wa siasa zao!!Tatizo ni Serikali na Mahakama kuingiliana
Hii kesi itaisha 2025
Majaji wa mchongo hao dawa Yao Katiba kama ya Kenya tu.Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.
Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Kwani nani kasema watoke bungeni? Ishu ni ndogo tu hao walishafutwa uanachama Chadema, sasa kama serikali dhalimu ya ccm imeamua kuwabeba na kuwalipa mishahara na posho haramu hilo sisi halituhusu kwani zinazochezewa ni kodi za watanzania milioni 61.Hakuna wa kuwatoa bungeni kina mdee hadi uchaguzi 2025
Hapo ndipo unapoona umuhimu wa Katiba mpya.Kwani nani kasema watoke bungeni? Ishu ni ndogo tu hao walishafutwa uanachama Chadema, sasa kama serikali dhalimu ya ccm imeamua kuwabeba na kuwalipa mishahara na posho haramu hilo sisi halituhusu kwani zinazochezewa ni kodi za watanzania milioni 61.
Tatizo kubwa linatokana na "think tank" ya CCM bado inaishi katika zama za ujima ndani ya zama hizi sasa za sayansi na teknolojia.Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.
Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Kenya Wana akili na Wajaji, Askari na Bunge Wana akili zao, Tanza-nia kumejaa Wapuuzi watupu, watupu! Tanza-nia imejaa wajinga na wasiojiaminiIkiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Maagizo kutoka kwa Mfalme ZumaridiBaada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.
Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Kenya Wana akili na Wajaji, Askari na Bunge Wana akili zao, Tanza-nia kumejaa Wapuuzi watupu, watupu! Tanza-nia imejaa wajinga na wasiojiamini
Chama Cha Wapuuzi watupuChama Cha Mazezeta
Jaji nae ni COVID 19Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.
Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Watatoka kwa sababu CCM yenyewe ina mambo mengi ya kufanyaHakuna wa kuwatoa bungeni kina mdee hadi uchaguzi 2025