Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

Kesi ya ‘COVID 19’ Jaji anazingua sana

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.

Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
 
Tatizo ni Serikali na Mahakama kuingiliana

Hii kesi itaisha 2025

Wakati mwingine unabaki kushangaa.Hoja mbali mbali zinazuka mara hakuna kuripoti live,mara watu watolewa nje.
 
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.

Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Majaji wa mchongo hao dawa Yao Katiba kama ya Kenya tu.
 
Hahaha,
tukirudi hiyo december 6, inapigwa wiki moja.

Then tunaenda mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Hiyo mpaka January 2023.

Tanzania bado sana.
 
Tatizo si Judge,

Tatz si Bunge au Serikali kuwakataa COVID.

Tatizo lipo Kwa CDM Bado hawako tayari kuikubali Serikali iliyopo, maana hata COVID wakitimuliwa, msimamo wa CDM Bado hawakubali mchakato na matokeo ya Uchaguzi 2020. Hivyo hawatoteua wabunge wengine.

Hamna namna, waendelee kuwepo tu.
 
Hakuna wa kuwatoa bungeni kina mdee hadi uchaguzi 2025
Kwani nani kasema watoke bungeni? Ishu ni ndogo tu hao walishafutwa uanachama Chadema, sasa kama serikali dhalimu ya ccm imeamua kuwabeba na kuwalipa mishahara na posho haramu hilo sisi halituhusu kwani zinazochezewa ni kodi za watanzania milioni 61.
 
sio vyema kesi kuisha kabla ya mazungumzo ya Muafaka kufika tamati
 
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.

Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Tatizo kubwa linatokana na "think tank" ya CCM bado inaishi katika zama za ujima ndani ya zama hizi sasa za sayansi na teknolojia.

Viongozi ambao wanategemea misaada ya vyoo vya tundu kutoka kwa wahisani wa nje, ama kuweka umeme kwenye nyumba za tembe vijijini, wewe unafikiri akili ya kijima inao uwezo wa kifikiria mambo makubwa nje ya kasha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.

Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Maagizo kutoka kwa Mfalme Zumaridi
 
Baada ya baadhi ya wabunge waliojiteua kuanza kuhojiwa na kubanwa kisawa sawa na Wakili Msomi Kibatala,Jaji kama kawaida yake kuipeleka kesi hadi Mwezi December 6 2022.

Ikiwa wenzetu Kenya waliweza kumaliza kesi kwa muda mfupi,kinachomshinda Jaji kusikiliza kesi kwa haraka na kuimaliza nini ?.
Jaji nae ni COVID 19
 
Back
Top Bottom