Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Kuna mambo hata ukipigiwa simu lazima utembelee kwenye uongo unaofanana na ukweli.Watapogiwa simu tu hao majaji.
Wewe utarajie maamuzi ya ajabu ajabu kama tunavyoona kwenye kesi ya Lissu.Kuna mambo hata ukipigiwa simu lazima utembelee kwenye uongo unaofanana na ukweli.
Majaji watatoa uamuzi baada ya kusikiliza hoja za pande zote. Upande gani utakuwa na hoja zenye mashiko, tuupe nafasi muda.
Kwenye hili nawapa benefit of doubt majaji wanaosikiliza kesi hii.Wewe utarajie maamuzi ya ajabu ajabu kama tunavyoona kwenye kesi ya Lissu.
Nina wasiwasi hii kesi itatumika kuhalalisha uhuni uliofanyika January 19.
Kesi itasikilizwa, na matokeo yatawashangaza wengi.Wataitupilia mbali hiyo kesi. Majaji hawako huru.
Mimi nina ''machale'' mengine. Je, CCM baada ya kuona ilifanya fyongo baya sana, inataka kumtumia Malisa (huku najua au bila kujua) kufuta kosa lililotokea? 1. Kwa kuhalalisha mchakato wake ili wawe na sababu ya kujitetea kuwa hata mahakama imepitisha? 2. Kufuta mchakato mzima ili kupata nafasi ya kumpitisha baada ya mkakati mpya? All in all, ule mchakato ulikuwa haramu.Kwenye hili nawapa benefit of doubt majaji wanaosikiliza kesi hii.
Mchakato ukifutwa ccm hawataweza tena kumpata mgombea urais. Watakuwa nje ya ratiba ya tume.2. Kufuta mchakato mzima ili kupata nafasi ya kumpitisha baada ya mkakati mpya? All in all, ule mchakato ulikuwa haramu.
DPP anahusika vipi na shauri lisilo la jinai!Di pi pii wetu hajaiona hii aifutilie mbali?
Wewe utarajie maamuzi ya ajabu ajabu kama tunavyoona kwenye kesi ya Lissu.
Nina wasiwasi hii kesi itatumika kuhalalisha uhuni uliofanyika January 19.
Tanzania 🇹🇿 hakuna majaji . Kuna wana ccm wanaovaa majoho ya majajiWatapogiwa simu tu hao majaji.
Labda Wataitisha mkutano wa dharura siku hiyo hiyo Kwa njia ya mtandao na kukamilisha taratibu zote…ngoja tuone drama zaoMchakato ukifutwa ccm hawataweza tena kumpata mgombea urais. Watakuwa nje ya ratiba ya tume.
Let's keep our fingers crossed.
Na tayari precedent ipo… Majaji watapata taabu sana kuitolea maamuzi…Malisa aombe zuio la shughuli zote za ccm kusitishwa mpk hapo suala lake litakapofanyiwa kazi na mahakama