misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Kuwepo wanaccm kila sehemu ya serikali ndio ngao yao.Shinda ya inch Kila sehem n lazima waepo wana ccm.. hapo atapigwa karenda mpaka apangawe mwenyee

Kumbe nilikuwa naotaKesi itasikilizwa, na matokeo yatawashangaza wengi.
Mchakato uliompitisha samia utabatilishwa, ccm watakuwa nje ya muda kumpata mgombea.
Mpina anaingia Ikulu kama anateleza. 😆😆😆
Kwa majaji hawa hawa wa Bi Mwenda??Kesi itasikilizwa, na matokeo yatawashangaza wengi.