Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Mkuu you spend your precious time unnecessarily kwa huyu mtu. I just wished to know his knowledge kwa ujumla, acha legal knowledge maana hiyo iko more technical. Tusijekuwa tunahangaika na mtu ambaye matokeo yake ya darasa la saba yametoka juziYani hii haina tofauti na fikra za baadhi ya viongozi wa serikali waliotoa kauli ya kwamba mawakili wakienda polisi kufuatilia kesi za watuhumiwa wakamatwe na wawekwe ndani.
Mkuu leo hii unaweza pita sehemu ukakamatwa kuwa wewe umehusika na ujambazi kisa umekamatwa na gari ambalo limehusika katika tukio.
Watu wote wakaamini wewe ni jambazi, sasa bila wakoli na ushahidi kuletwa mahakamani si unafungwa tu maana jamii nzima itakuwa inaamibi wewe kweli jambazi.