Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Mke wa Dr Slaa mama Josephine Mshumbusi atatoa ushahidi kwa upande wa utetezi katika kesi inayomkabili msanii Lulu mahakama kuu jijini Dsm. Utetezi huo ulio katika mfumo wa maandishi utasomwa mahakamani hapo na askari aliyechukua maelezo hayo kutoka kwa shahidi. Source Eatv habari!
 
Ila Dr Cheni anajitahidi kumsupport lulu..Mungu ambariki
huo ndio utu mkuu..kuna watu wamekaa kutega sikio wasikie lulu kapigwa miaka mingap..inashangaza sana mtu kushabikia matatizo ya mwenzie.
 
Daah... kumbe Kibatala anajali hela tuu sio haki. Bongo muvi yetu imekuwa km mwathirika wa UKIMWI alokosa dawa za kupunguza makali kwa sababu ya Lulu. Kuanzia leo simuheshimu tena Kibatala
Aliyekudanganya Kibatala analipwa na Lulu ni nani?

Kenge wewe, Lulu asingetetewa na Kibatara serikali ingempa wakili wavserikali bure kumtetea kwa gharama za kodi yako.

Kama wewe ni mbumbumbu kuanzia leo kaa ukijuwa kesi za mauwaji watuhumiwa kama hawana mawakili wa kuwatetea serikali inawapa mawakili bure mbumbumbu wewe tena kwa kutumia kodi zetu.
 
Anasimamia haki ya mtuhumiwa.
Hata kama akikutwa na hatia lakini haki zake za msingi na kila mtuhumiwa ana haki ya kutetewa.
Watu mna mahaba hadi yanafunika reasoning.
Yani hiki mnacholalamika hapa hakina tofauti na viongozi wa serikali kusema mawakili wawekwe ndani kisa wameenda polisi kutetea wale inaowatuhumu na kuamini ni waharifu wakiwemo wanasiasa waliokamatwa.
Huku serikali hiyohiyi ikitowa mawakili wake bure kuwatetea watu wenye kesi za mauwaji.

Maajabu haya yanapatikana Tanzania tu, maana bora Tanzanite unaweza kuiona nje ya Tanzania.
 
Hapa nachokiona majaji wanataka wakili wa mshitakiwa ashindwe kwa nguvu zote. kesi hapa ni kati ya wakili na majaji....yangu macho...ila sidhani kama wakili atachomoka hapa na ndio maana kesi ipo mpera mpera.
Mjinga mwingine huyu hapa, ni kwa nini kesi isisikilizwe mfululizo wakati ilifungwa PI kwa miaka? Ulitakaje? Unaelewa kesi za mauwaji zinavyoendeshwa?

Majaji wakisafiri kwenda kwenye kanda mikoani unajuwa huwa kesi zinaendeshwaje?
 
Back
Top Bottom