Kesi ya Elizabeth Michael (Lulu), Mke wa Dk. Slaa ahitajika kufika mahakamani kutoa ushahidi

Mkuu you spend your precious time unnecessarily kwa huyu mtu. I just wished to know his knowledge kwa ujumla, acha legal knowledge maana hiyo iko more technical. Tusijekuwa tunahangaika na mtu ambaye matokeo yake ya darasa la saba yametoka juzi
 
Mkuu... hapo nimekuelewa. Lulu bado ni mtuhumiwa.... hakuna mwenye uhakika km aliua kweli. Ngoja mahakama ifanye kazi yake
 
Daah... basi sawa!
Mkuu anachosema jamaa ni sahihi kabisa.Haiwezekani mtu kwa kuwa ametuhumiwa kosa basi atundikwe bila kufuata taratibu na sheria.Tukifanya hivo basi mahakama itakuwa ya kangaroo,mahakama ambayo tayari inaupande hata kabla ya kusikiliza shauri.
 
NYIE MNAOMHUKUMU LULU BILA KUTHIBITISHA MJUE KUWA DUNIA DUARA, KESHO YATAKAPOWAKUTA YA KWENU NDYO MTAJUA.

ILI MRADI TU UNAISH, MAHAKAMA, JELA AU MAHABU IMEWEKWA KWA KILA MTU, LEO YEYE KESHO WEWE

UNAWEZA KULALA NA MKEO, AKAJIUA, UKAWEKWA NDANI WAKATI UCHUNGUZ UNAENDELEA.

UNAWEZA KUWA NA HELA BANDIA BILA KUJIJUA UKAKAMATWA UKAWEKWA MAHABUSU

KWA HYO NI V2 VYA KAWAIDA HUTOKEA.
 
Hata mimi mkuu naona hivyo huu upepo unavyovuma lolote linaweza kutokea
ukisoma maelezo ya seth kanumba na yule dr ,utaona kabisa kuwa Lulu kuna kosa la ki ufundi alilifanya,ila tusubiri tuone
 

Angepewa dhamana hata kama angekiri kuua? I thought dhamana ni kwa kuua bila kukusudia...nielimishe..
 
Askari Polisi Ameamriwa Kufika Mahakama Kuu Kukabidhi Maelezo Dhidi Ya Kesi Ya Lulu | Elizabeth Michael "Lulu"
 
Ila Dr Cheni anajitahidi kumsupport lulu..Mungu ambariki
Baba yake na wengine wanadai amemla na yeye.Halafu si ndo alikuwa anatumia gari ya Kanumba? Walidai anamla na mama Kanumba pia![emoji15]
 
Baba yake na wengine wanadai amemla na yeye.Halafu si ndo alikuwa anatumia gari ya Kanumba? Walidai anamla na mama Kanumba pia![emoji15]
Cheni anatembea na mama kanumba?ama mimi ndio sijakuelewa?
 
Ndie aliyeshawishi lulu ajiunge kaole,naona nafsi inamsunta kumpeleka lulu kwenye umaarufu akiwa mdogo
Ila Dr Cheni anajitahidi kumsupport lulu..Mungu ambariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…