Kesi ya Halima Mdee na Wenzake 18 leo Machi 9, Dkt. Azavel Lwaitama kuhojiwa Mahakamani

Hiyo 800 waliyochukua chadema kama Ruzuku wamepewa kwa sababu ya hawa 19 walioko bungeni,na nna uhakika kama wakiamua kutoka bungeni hiyo ruzuku lazima irudishwe mpka uchaguzi ujao.....Nnavyomjua mbowe hawezi pishana na hela....Wataendelea kubaki tu mpka 2025.

Naomba ukubali kujifunza!
Ruzuku HAITOKANI na wabunge wangapi mliopata bali hutokana na kura ngapi za u Rais mmepata.

Hizi ruzuku ni sababu ya kura ambazo Lissu alipata sio akina Mdee kuwepo bungeni
 
Ndio maana huwa nasema ccm imefuga nguruwe ambao ndio hutegemewa kuwapambania mitandaon ona sasa hii aibu mtu hajui hata utaratibu wa ruzuku halafu naye eti anajadili ruzuku ya chadema aiseeee hii ni hatari.
Hacha kutukana chief hakuna mtu hasiyejua hiyo ruzuku inatolewa kwa sababu gani na vyama vingapi vinapokea hiyo hela ya msahada?,Chadema ni chama cha pili katika kupokea Ruzuku KUBWA baada ya ccm na ndo vinafata vingine vya siasa mpaka kuna chama kinapokea tsh 63k.
Chadema waligoma kwa sababu walisema wao hawatambui kila kitu cha mwaka huo 2020 hasa uchaguzi mkuu na wabunge wao 19 walioko Bungeni,na chadema wamepata hiyo Ruzuku kubwa kuliko wenzie kwa sababu wanao wanachama wengi bungeni ambao Chadema hawawatambuliki ila Ruzuku wamepokea tena kimya kimya.
Sasa tunahoji kama hawatambui uchaguzi,hawatambui wabunge hao 19, hiyo Ruzuku wamepokea ni hongo au Rushwa pole ta kusulubiwa na JPM?,
CAG anatakiwa kutwambia hiyo hela inatolewa kwa sababu zipi kama sio matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi?
 
Naomba ukubali kujifunza!
Ruzuku HAITOKANI na wabunge wangapi mliopata bali hutokana na kura ngapi za u Rais mmepata.

Hizi ruzuku ni sababu ya kura ambazo Lissu alipata sio akina Mdee kuwepo bungeni
Sawa sikatai ila si waligomea huo uchaguzi na hawakuitambua serikali au tangu Magufuri afariki tushafanya uchaguzi mwingine?
 
Naomba ukubali kujifunza!
Ruzuku HAITOKANI na wabunge wangapi mliopata bali hutokana na kura ngapi za u Rais mmepata.

Hizi ruzuku ni sababu ya kura ambazo Lissu alipata sio akina Mdee kuwepo bungeni
Mbona CUF 2015 hawakuwa na mgombea Urais lakini baada ya Uchaguzi wakawa wanapata Ruzuku ya zaidi ya tsh 100 million kwa mwezi?

Samahani lakini
 
Ile kesi iliyofunguliwa na Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA, wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea leo Mahakamani.

Wajumbe wa bodi ya Wadhamini ya Chadema, Dkt. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel watahojiwa.

Tuendelee kubaki hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi.
Muda mwingine unaboa sana ,lwaitama katoa ushahidi au hajatoa mpaka muda huu
 
Vipi na huko Zanzibar hawakuwa na mgombea? Tumia kichwa kufikiri
Yaani wewe Ndio bure kabisa bora hata yule Malafyale

Uchaguzi wa ZEC unahusiana nini na NEC?

Na hujui kuwa Maalim Seif aliyakataa Matokeo ya Zanzibar 2015?!!

Acha Ututusa basi!
 
Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Duuuh!!
Hizi siasa za kihafidhina hazifai dada chiembe .

Kwa nini hamtaki kukubaki ukweli kuwa Mwenyekiti wenu ameona ukweli nchi ilivyokuwa kwa kuanzia 2015 mpaka March 17 2021!!!???

Sisi wengine tumesamehe na kusahau madhira yote yaliyotupata kuanzia 2015, tunataka tuungane na Mh. Rais SSH ili kuipeleka Tanzania hatua kadhaa mbele ili kuwaachia wajukuu zetu nchi iliyo bora zaidi.

Legacy haitetewi.
Legacy inajitetea yenyewe.
 
Hacha kutukana chief hakuna mtu hasiyejua hiyo ruzuku inatolewa kwa sababu gani na vyama vingapi vinapokea hiyo hela ya msahada?,Chadema ni chama cha pili katika kupokea Ruzuku KUBWA baada ya ccm na ndo vinafata vingine vya siasa mpaka kuna chama kinapokea tsh 63k.
Chadema waligoma kwa sababu walisema wao hawatambui kila kitu cha mwaka huo 2020 hasa uchaguzi mkuu na wabunge wao 19 walioko Bungeni,na chadema wamepata hiyo Ruzuku kubwa kuliko wenzie kwa sababu wanao wanachama wengi bungeni ambao Chadema hawawatambuliki ila Ruzuku wamepokea tena kimya kimya.
Sasa tunahoji kama hawatambui uchaguzi,hawatambui wabunge hao 19, hiyo Ruzuku wamepokea ni hongo au Rushwa pole ta kusulubiwa na JPM?,
CAG anatakiwa kutwambia hiyo hela inatolewa kwa sababu zipi kama sio matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi?
hata wewe huelewi ila inajaribu kupoza munkari nisikuite mjinga ila kiukweli na wewe ni mjinga haya chadema inasema hao unaowaita wabunge waondoke bungen inamaana wakiondoka chadema haitapata ruzuku kwa uelewa wako? acha kupotosha wewe.
 
Umejiuliza chadema kwa nini kinaitwa chama kikuu cha upinzani?
 
jibu swali nimekuuliza hao unaowaita wabunge wa chadema ambao kimsing sio hata wananchama wa chadema wakiondolewa bungen chadema haitakuwa nasifa ya kuchukua ruzuku wanayochukua sasaivi?
 
Tushajibu sana haya maswali kwa mafala wenzio huko juu...anzia juu tusichoshane mzee.
 
Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Serikali ni ya Wananchi

CHADEMA ni wananchi

Sasa Tatuzo liko wapi hapo
 
FB_IMG_1678455546452.jpg
 
Huyo Babu amelelewa na Serikali mpaka kazeeka ndio anaanza kuipinga serikali! Yaani kichekeaho, mtu kaishi miaka sabini akila mshahara, Yuko katika umri wa bonasi ndio anajifanya kujua.

Na alikuwa analipwa vizuri kiasi kwamba nyumbani kwake alikuwa anatoa mgao kwa watoto, house girl anapika inapobidi.

Kijijini kwao hajasaidia lolote la maendeleo hata kujenga shule ya nursery.

Atakumbukwa na Bashiru Ally Kakurwa kwa kuwa katika kitivo Chao, waliunda alliance ya wahadhiri wahaya ambao walikuwa wanampa maksi nzuri awe retained, na kweli Bashiru alibakizwa UDSM kama mhadhiri. Lakini Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM ya jiwe, Lwaitama akalala rumande!

N.B: jukwaani maneno meeengi, pale chuo walikuwa wanapokezana kubakiza wahaya kama lectureres, Kila Prof anachagua mtu wake, anawapa signal wahaya wenzake, wanakuwa na kazi ya kumjazia maksi tu, mkabila wa hali ya juu.

Ndio Siri ya Kabila fulani kujaa pale UDSM
Wewe mpaka unaandika hivi basi Kuna mawili, kwanza hujasoma zaidi ya darasa la Tano B au kama umesoma huko shule ya katani basi umerukwa na akili au matumizi Yako ya Kimpumu na kachasu yamekuzidi.
 
Endelea kukisia
 
Back
Top Bottom