Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

Ulichoandika ni kweli lakini lazima kuwe na court order. Otherwise pimbi yeyote atatokea akisema mimi ni TISS nataka mawasiliano ya Godo .
 
Hakuna kesi hapo shika haya maneno yangu ...ni mchongo tu
Nakubaliana na wewe kwa kuwa issue kubwa ambayo Kabendera anadai Vodacom walihusika na kukamatwa kwake ni kwamba siku aliyokamatwa alikuwa anashindwa kufanya mawasiliano including kufanya miamala ya fedha.

Sasa itabidi alete switch gear report yeye inayoonyesha simu yake ilibaniwa
 
Hii safi.

Jamaa alikuwa na software ya Pegasus ambayo inaweza kuipanguwa mitandao na kampuni isifanye lolote. Tutayajuwa mengi.
 
Sina imani huyo Jaji kilaza..
Hana uadilifu hivyo wakimkataa kuwa hukumu zake ñi za hovyo hovyo .
 
Takwa la kisheria halafu huweki kifungu cha sheria huku ukithitibisha kwamba ni kweli utaratibu ulifuatwa.

Fair to conclude..

Bush lawyer.
 
Erick yuko nchini au nje, mana at one time aliondoka akaenda ulaya
 
Takwa gani? Sheria gani inasema hivyo? Kesi lazima iwe mahakamani au upewe barua ya kimahakama ndio uchunguze line otherwise hairuhusiwi, tena sio tu kupewa taarifa ila hadi kumtrack? Na kutoa rekodi za miamala? Hiyo kesi lazima walipe fine.

Unakumbuka kesi ya FBI kunyimwa kibali na apple kudukua simu ya mteja? Walikataa sababu sheria hairuhusu.

Kabendera walijua anaishi wapi why wasimpelekee summons ili aende kituoni? Sheria ipi inaruhusu kumteka mtu ambaye yupo available kabisa? Or call it kumkamata bila kufuatilia procedure za kisheria?

Hii nchi acha tuonewe tu maana raia hatujitambui
 
Kubenea ni mwamba, mpeni ⚘ yake.

Tumfuatilie atakuwa mix ya Kenya na Tanzania.
 
Daaaah!
 
Kabendera na Madeleka HAWAWEZI kutoboa. Tutarudi hapa
 
Kabendera na Madeleka HAWAWEZI kutoboa. Tutarudi hapa
Hawawezi sababu mahakama hazipo huru, hiyo kesi angefungua Mchengerwa angeshinda!! Ila kusema hawawezi toboa sababu hawana hoja za msingi SIO KWELI. Tena kuna sheria ipo inayolinda usiri wa taarifa za mteja na tayari kuna baraza limeundwa na Maxence Melo ni mjumbe.

Hivi unakumbuka Max aliwahi katalia kutoa taarifa ya member wake? Kama sheria inaruhusu kwanini Max alikataa kumdukua member wake? Na why Voda wakubali?

Mind you Max alishinda some of mashtaka yake, so why not kabendera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…