Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

Kuna mbinu nyingi za utakatishaji fedha...!!! Kitengo chakuzuia kutakatisha fedha kinatakiwa kuwa more smarter!!! Wenye D2 tupo pale tunataza!
 
Hamna kesi hapo,ni takwa la kisheria kwa watoa huduma za mitandao kutoa ushirikiano kwa vyombo vya Dola katika kufanikisha Upelelezi yaani wamiliki wa mitandao ya simu au huduma za mawasiliano au mtoa huduma yeyote hawaruhusiwa kutoa taarifa ya mteja isipokuwa katika kufanikisha Upelelezi.
Hujui ulichoandika. Mawasiliano ya simu ni faragha na yanalindwa kikatiba na hairuhusiwi yeyote kuingilia faragha ya mtu nwingine.
 
Back
Top Bottom