Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

NARUDIA TENA HAKUNA KESI HAPO....NI MCHEZO TU WAKUTENGENEZWA WOTE TEAM MOJA
 
Swadakta!
 
Lakini office ya upelelezi si ni lazima waombe kibali kwanza mahakamani kama vile search warranty !? Au Bongo mambo hayo hakuna,na office ya upelelezi ina hizo power ya kufanya hivyo bila kupitia mahakamani kwanza!!??
 
Kazi ni ku prove before the Jury
 

Utekaji, siyo upelelezi. Na sheria haijasema mitandao ya simu inawajibika kushirikiana na vyombo vya dola kufanikisha utekaji.
 
Wanaruhusiwa kutoa tu hizo taarifa bila kibali cha mahakama??
 
Waliomba kibali mahakamani?
 
Awamu ya Tano wali-introduce LIG(Lawful Interception Gateway) ,RTT(Real Time Triplets),CEIR(Central Equipment Identity Register) na TTMS(Telecommunication Traffic Monitoring System).

Hapo hauchomoki kwa Watu wasiojulikana.
 
ukweli kwamba vodacom ni kibaraka wa serikali ya ccm na TRA msilolijua kiufupi ?.ukitaka kujua kama ni mfanyabiashara usije kujifanya unaweka faragha zako vodacom na miamala kama ni mfanya biashara au kuna mengine unakwisha.
na wanao watumia sana ni ostabey polisi na wasiojulikana
 
Tunaomba Live Updates kama zile za Kesi ya Ugaidi ya Mbowe.

Hii ni Kesi muhimu sana kwa sisi watumia Mitandao ya kijamii na Digital communications
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…