Kesi ya Kikatiba dhidi ya Serikali na BAKWATA imetajwa leo 26.11.2024, Mahakama Kuu

Waislam lazima muwe na chini ya chombo kimoja hatutaki ugaidi Tanzania.
 
Uislamu unahujumiwa na waislamu wenyewe
 
Ni kama kumlazimisha Mwamposa awe chini ya TEC
😅😅😅
TEC inahusu Kanisa Katoliki pekee (Tanzania Episcopal Conference). Hili ni Baraza linalojumlisha Maaskofu wa majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Mbali na Mwamposa, hukuti hata Askofu wa Kilutheri au Kianglikana.
 
TEC inahusu Kanisa Katoliki pekee (Tanzania Episcopal Conference). Hili ni Baraza linalojumlisha Maaskofu wa majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Mbali na Mwamposa, hukuti hata Askofu wa Kilutheri au Kianglikana.
Sasa Bakwata inataka kuhodhi madaraka ambaya hawana kikatiba
 
Hana taarifa kamili za mgogoro
 
Sio EC pekee yao wenye hiyo MOU, Lutheran, Anglican pia. Hiyo hiyo MOU hata Waislamu kwa taasisi yeyote mkijenga hospitals popote Tanzania, ina apply. Sasa wewe unataka MOU wakati huna hospitals, huna shule, hauna vyuo vya maana; serikali I finance ninj? Hili mbona hata Kikwete akilisema vizuri sana kwenye baraza la Idd enzi hizo akiwa raia No 1 pale msikiti wa Gasaff Dodoma? Well; nimefikia hitimisho hilo kwasababu ya maandishi yako mwenyewe hapo ju. Nimalizie hivi; Barukta ilikuaje ikafa/Ikafutwa? Usitupe lawama kwa Serikali bila kuangalia mahali mnapokosea; malalamiko hayajawahi kujenga chochote na popote duniani.
 
Serikali ya tz ni nchini inayothamini amani kuliko kitu chochote kile,
Waasilamu hawawezi wakaachwa TU Eti wajiendeshe wenyewe, serikali ya tz inajua yaliyoko kwenye mafundisho ya kitabu Chao na ismalic sharia.
 
Waislamu hawataki taasisi zao kufadhiliwa na serikali ila serikali imeamua kuifadhili Bakwata kwa lengo mahsusi ili Bakwata iwe Watchdog wa taasisi nyingine za Kiislamu lakini hakuna taasisi nyingine ya Kiislamu inafadhiliwa na serikali na hilo la taasisi za Kikristo kudai eti zinajiendesha zenyewe na kwamba eti serikali ndiyo inajipendekeza siyo kweli,mbona serikali ikitaka kujenga hospitali zake kama za wilaya kwenye maeneo zinapotumika hospitali za kanisa uwa wanakuja juu na kudai eti hakuna haja ya kushindana wakati wao waliingia mikataba na serikali? Hata hospitali za kanda mfano Bugando na KCMC serikali ikigusia kutaka kujenga hospitali zenye hadhi zinazolingana na zile jamaa wanakuja juu sana hii yote ni kwa sababu ya maslahi binafsi tu.
Kwa taarifa yako Kanisa ndiyo linabebwa sana na serikali kuliko Waislamu.
 
Tunawaombea tu wasifikie kama Pakistan kuanza kutafutana na kuwapo na uadui wa dhehebu moja na longine
 

Unaijua EAMSWA? Unajua ilikuwa ina miliki nini na nini? Achana na hzo porojo sijui za Kikwete hujui lolote kuhusu madhila ya serikali dhidi ya Dini ya Kiislam
 
Hu nao ni uongo tu. Sekoture ya Mwanza sio hospital ya rufaa? Imejengwa lini? Halafu sijui kwanini huaga mnawaonea sana Wakatoliki, kuna Kolandoto pia ipo Shinyanga, specialist kw mgonjwa y ukomaa, yenyewe inamilikiwa na kanisa la AIC. Waislamu mnakwama wapi? Enzi za Magufuli, hiyo Bugando unayoisema, RC walitaka kuachana kabisa na serikali, ni serikali yenyewe iliomba poo. Watazame hata kwenye vyuo vyao, huwasikii wakijipendekeza kumpa sijui nani degree za heshima; hakuna. Sheria ile ile inayovilinda vyuo n hospitals za RC ndio hiyo hiyo ina cover kwenye dini zote, now tell me, kinaendelea nini kwenye chuo cha Bakwata cha Morogoro? Majengo mmepewa bure na serikali, RC na Lutheran waliuziwa kule Iringa, Bakwata ndio mmiliki wa chuo kile kama ilivo TEC kwa Roman Catholic, Bakwata inafadhiliwa na serikali (this is according to you, me sina uhakika ) lakini bado hata wewe huwezi kupeleka mwanao kule, why? Hamjawahi kua serious na mambo ambayo hayana uhusiano na DINI nyie, afya, elimu sio sehemu ya Uislam. Ni rahisi kufundisha vijana kwenda kupigana Jihad lakini haiwezekani ku train vijana wenu kuja kua madaktari au walimu bora
 
Enzi za Magufuli, hiyo Bugando unayoisema, RC walitaka kuachana kabisa na serikali, ni serikali yenyewe iliomba poo.
Acha uongo,ukiigusa Bugando na Kcmc jamaa wanakuja juu ile mbaya hawataki kabisa kusikia serikali inajenga Hospitali za Kanda huko ili Hospitali zao ziendelee kutumika ili wapate mabilioni ya serikali.
 
Acha uongo,ukiigusa Bugando na Kcmc jamaa wanakuja juu ile mbaya hawataki kabisa kusikia serikali inajenga Hospitali za Kanda huko ili Hospitali zao ziendelee kutumika ili wapate mabilioni ya serikali.
Nimekuuliza swali rahisi sana; Sekoture ina HADHI gani? I mean ipo class ipi ya hospitali? Mbona swali rahisi sana bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…