Kesi ya Kikatiba dhidi ya Serikali na BAKWATA imetajwa leo 26.11.2024, Mahakama Kuu

Nimekuuliza swali rahisi sana; Sekoture ina HADHI gani? I mean ipo class ipi ya hospitali? Mbona swali rahisi sana bro?
Ni hospitali ya rufaa ya mkoa,nakuuliza na wewe unataka kusema hiyo Sekoture ina hadhi sawa na Bugando? Maana tusiwe tunabishana vitu tofauti! Mimi Nazungumzia hospitali za Kanda na ndiyo maana nimeitaja pia KCMC najua pia kule kuna Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mawenzi lakini wewe unang'ang'ania Sekoture,Sekoture!
 
Tetea ulicho kiandika; umesema, "serikali ikitaka kujenga hospitali kama hizo, RC wanapiga kelele, hawataki" so kama Bugando ni hospitali ya rufaa na ipo Mwanza, same as Seketure nayo ni ya rufaa huoni kama una ramba matapishi yako mkuu?
 
Ebu onesha hapo uliponukuu wewe kwamba nimeandika Bugando ni hospitali ya rufaa tena soma vizuri kwenye lile andiko ulilojibu usiangalie kwingine ukasema nime edit.
 
Back
Top Bottom