Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

Kesi ya Kubenea dhidi ya Makonda ni dhihaka, fedhea na 'kichekesho' kwa Ofisi ya DPP na Serikali kwa ujumla

... former NSSF DG; former minister for finance; former MP; mwanachama wa CCM akaishi Kilosa? You must be joking Mkuu. Huyu hata ikitokea kwa bahati mbaya kafia Kilosa atapelekwa Dar kwa mazishi.
Jamaa wanaishi kwenye sayari yao ya tofauti kabisa na sisi
 
... former NSSF DG; former minister for finance; former MP; mwanachama wa CCM akaishi Kilosa? You must be joking Mkuu. Huyu hata ikitokea kwa bahati mbaya kafia Kilosa atapelekwa Dar kwa mazishi.
Nakubaliana na wewe lakini bado haiondoi ukweli kuwa Bw. Mkulo alikuwa Mbunge wa Kilosa na Mzaliwa wa Kilosa. Aliyelipenda jimbo lake upeo😂😂
 
Sikuizi wezi wa mali za umma wanaonekana ni mashujaa hii inchi ina wakinakubenea wa ovyo sana ppttuuuuu.
 
Wasiojulikana hatimae wajulikana Hadi Sura zao na vyeo vyao. Je walikuwa wakiwafanyia raia unyama Kwa faida ya Chama Tawala au kwa kumfurahisha Kiongozi Mkuu wa Chama kile ili kusaka vyeo???
Yote mawili yanawezekana. Lakini kubwa zaidi ni hilo la kumfurahisha kiongozi wa chama linabeba uzito zaidi. Strongmen brook no rivals and they are served by faceless men. That goes the old rule.
 
Back
Top Bottom