johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist, kwanza asante kwa taarifa hii.Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Mambo ni motoAsante kwa taarifa
P
Hilo likitokea halitashangaza hata kidogo kwani kwa akili zao fupi wanaweza kudai kuruhusu kitu kama hicho ni kuhatarisha amani...Ccm watapinga hata hili..
Wahalifu waoga lazima wafanye mambo yao gizani. Adui wa taifa hili ni CCM na ndio maana mchana hutumulika ili usiku watuchome. Gizani CCM hupata ujasiri wa ajabu!..Wanapenda mambo yafanyike kwa kificho ili waweze kudhulumu haki za wananchi.
Naonga mkono hojaHilo likitokea halitashangaza hata kidogo kwani kwa akili zao fupi wanaweza kudai kuruhusu kitu kama hicho ni kuhatarisha amani.
Kwa kweli wanachodai ni amani si amani, ni uoga...penye amani hakuna uoga. Watanzania wenzangu, lini tutazinduka? CCM inaogopa ukweli kama ukoma.
Wahalifu waoga lazima wafanye mambo yao gizani. Adui wa taifa hili ni CCM na ndio maana mchana hutumulika ili usiku watuchome. Gizani CCM hupata ujasiri wa ajabu!
Nafuatilia kwa karibu yanayojiri mahakami kwa majirani leo na kesi ya msingi inaanza kesho. Kuona jambo kama hili likitendeka Afrika ni kama ndoto. Kenya wako mbali!
Wanapanga utaratibu wa jinsi Kesi itakavyosikilizwaAny updates plz....
Leo ilikuwa inatajwa tu, kesho ndio kesi rasmi inaanza ikiongozwa na Jaji Mkuu, mwanamama Lady Justice Martha Koome. Kazi ipo!Any updates plz....
AsanteLeo ilikuwa inatajwa tu, kesho ndio kesi rasmi inaanza ikiongozwa na Jaji Mkuu, mwanamama Lady Justice Martha Koome. Kazi ipo!
View attachment 2339869
Mkuu sio muda wa kazi kwa kila mtu.Mbona mda wa Kazi huu..? Kushawishi waja Wakae kubung'aa kwenye Luninga kweli ?
Hebu muulize hao watakaofuatilia kinachoendelea huko Kenya kwa lugha ya malkia ni asilimia ngapi ya Watanzania?Mkuu sio muda wa kazi kwa kila mtu.
Kila mtu ana majira yake ya kazi.
Kwa nini wasinune?CCM wananuna Sana kwa kile kinachoendelea Kenya. Sijui kwann?
Ha ha haaa! Usinichekeshe ndugu yangu...heri hata maiti anayetembea anaweza kuwa na mawazo mapya?Alichokisema kwenye Space juzi mzee Wasira ndiyo mawazo ya wanaccm wailo wengi.
Shetani hutenda gizani. Jaribu kummulika fisi usiku akiwa mawindoni kwa tochi, halafu urudi hapa utusimulie.Kesi ya mbowe Tu hapa watu walikuwa wanafukuzwa wasione yanayoendelea, CCM ni Kansa