Kesi ya kupinga matokeo ya Rais wa Kenya sasa inarushwa mubashara

Kesi ya kupinga matokeo ya Rais wa Kenya sasa inarushwa mubashara

Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Sio lazima tufanye kila afanyaro JIRANI

Mbona wewe hufi....??!
 
Naona majizi ya kura ya CCM yanaingizwa darasani kuoneshwa misingi ya utawala wa sheria na mihimili inayojitegemea.
 
Siku mkijuwa kwamba mabadiliko yanahitajika ili kulinda haki zetu machozi yatatuka kwa kuchelewa.
 
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni

Na ma Lumumba kumtegemea MMM ni aibu kubwa kwa CCM.

Au nasema uongo yangu?
 
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Sisi Mkurugenzi wetu Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Tanzania aliwaonya Wakenya athari za kuruhusu vituo vya kujumlishia kura kuwa vya wazi - afu Jaji wetu ndiyo kiongozi anayeangalia kama maamuzi yanafuata misingi ya sheria wakati anakoka hata kusema tu 'ngweeeeee - unapotea !!

Tupo karne nyingi mno nyuma
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist, kwanza asante kwa taarifa hii.

Baada tuu ya kuipokea hii, mimi mbio the Citizen Kenya nikashuhudie!.

Nikaamua kabla ya kwenda Kenya, nikaamua kupita mahali..., kwani Kenya kuliendeka!. Nilikutana na "jicho ona", safari yangu ikaishia pale!.

Tupe feedback, nini kilijiri, maana ...

P
Sawa mzee wangu inaonekana ile kanuni ya paithogras uliishika vyema " nielewe"
 
Hebu fikiria kama mtuhumiwa wa kwanza kwenye kesi hiyo angekuwa ni yeye ibilisi na mshtakiwa wa pili Tume Ya CCM ikiongozwa na Mahera!
Huko mbali sana mkuu, ujue ccm ni tatizo bila kujali aliyekalia nafasi ya juu...Ndugai kaongea jambo dogo sana na la kawaida kabisa tena kaongea akiwa nje ya nafasi yake, ona yaliyomkuta.

Hii nchi haitasogea tena ikiwa chini ya hili dude ccm.
Uwezo wao wa kufikiri umeshagota, hawana jipya tena.
 
Kwa sasa Tanzania inatakiwa kubadilika kwa haraka sana.
Viongozi wetu wasiendelee kukumbatia ujinga uliopitwa na wakati.
 
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Hakuna umeme,.

Hii nchi ngumu sana kuiongoza!
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist, kwanza asante kwa taarifa hii.

Baada tuu ya kuipokea hii, mimi mbio the Citizen Kenya nikashuhudie!.

Nikaamua kabla ya kwenda Kenya, nikaamua kupita mahali..., kwani Kenya kuliendeka!. Nilikutana na "jicho ona", safari yangu ikaishia pale!.

Tupe feedback, nini kilijiri, maana ...

P
Nenda kwenye hii thread

Thread 'Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu' Kenya 2022 - Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu
 
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Tanzania mtaonyeshwa LIVE MIKUTANO ya CCM
 
Back
Top Bottom