Kesi ya kupinga matokeo ya Rais wa Kenya sasa inarushwa mubashara

Kesi ya kupinga matokeo ya Rais wa Kenya sasa inarushwa mubashara

Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Kenya is a full democratic country.
Tanzania ya demokrasia mara ya mwisho tuliiona wakati wa JAKAYA KIKWETE.
 
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Hapa bongo ukirekodi proceedings live unapigwa kifungo cha bila kujitetea hapo hapo(summary judgement) kwa kuidharau mahakama ( contempt of the court) lakini ukiwakuta kwenyè semina wanafafanua common law doctrine of open court kuwa "Justice should not only be done but should manifestly and undoubtedly be seen to be done"" utadhani ni watu wawili tofauti
 
Thubutu! Tanzania tumezoea giza, hii ya kesi kuendeshwa mubashara kwa kweli wanazidi tu kutudhalilisha tulivyo nyuma katika dunia ya uwazi!

Halafu kama vile kuongeza chumvi kwenye kidonda, kesi yenyewe inaendeshwa kwa lugha ileeee! Kwa Mtanzania, lugha lileee ni usiku wa giza.

Cha kufurahisha nasikia aliyewahi kuwa Jaji wetu Mkuu, Jaji Mohamed Chande Othman, yuko ndani ukumbini anafuatilia, labda atatupa mrejesho!
Kwahiyo hata lugha kwako unadhani ni bora Kenya kutumia lugha ambayo zaidi ya 50% ya wakenya hawaielewi vizuri na bado unadhani huo ndio uwazi na sio kujidhalilisha wenyewe?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Any s
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!

Mungu wa mbinguni awabariki.

Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Any Smoking gun
 
Back
Top Bottom