Watu wameombwa wasijae sana mahakamani, watahakikisha yeyote yule anaweza kufuatilia kutoka nyumbani kwake kwani wanarusha mubashara...wewe washa tu TV!Simuoni Grand Mullah (SC Ahmed Nassir Abdullah), mahakama ingekua haitoshi!
Sio lazima tufanye kila afanyaro JIRANIWapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Kumbe kweli bado mpo, nilidhani mmezikwa naye! Eti afanyaro, kumbe hata Kiswahili kibovu hurithiwa!Sio lazima tufanye kila afanyaro JIRANI
Sawa kwa hiyo unashaurije?Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Sisi Mkurugenzi wetu Mkuu wa Tume ya Uchaguzi Tanzania aliwaonya Wakenya athari za kuruhusu vituo vya kujumlishia kura kuwa vya wazi - afu Jaji wetu ndiyo kiongozi anayeangalia kama maamuzi yanafuata misingi ya sheria wakati anakoka hata kusema tu 'ngweeeeee - unapotea !!Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
enzi zetu hawa jamaa wangekuwa ndo wapo Bongo afu wamwambia Mwamba hakushinda - hiiiiiiiiiiLeo ilikuwa inatajwa tu, kesho ndio kesi rasmi inaanza ikiongozwa na Jaji Mkuu, mwanamama Lady Justice Martha Koome. Kazi ipo!
View attachment 2339869
Sawa mzee wangu inaonekana ile kanuni ya paithogras uliishika vyema " nielewe"Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist, kwanza asante kwa taarifa hii.
Baada tuu ya kuipokea hii, mimi mbio the Citizen Kenya nikashuhudie!.
Nikaamua kabla ya kwenda Kenya, nikaamua kupita mahali..., kwani Kenya kuliendeka!. Nilikutana na "jicho ona", safari yangu ikaishia pale!.
Tupe feedback, nini kilijiri, maana ...
P
Huko mbali sana mkuu, ujue ccm ni tatizo bila kujali aliyekalia nafasi ya juu...Ndugai kaongea jambo dogo sana na la kawaida kabisa tena kaongea akiwa nje ya nafasi yake, ona yaliyomkuta.Hebu fikiria kama mtuhumiwa wa kwanza kwenye kesi hiyo angekuwa ni yeye ibilisi na mshtakiwa wa pili Tume Ya CCM ikiongozwa na Mahera!
Hakuna umeme,.Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
BiSio lazima tufanye kila afanyaro JIRANI
Mbona wewe hufi....??!
Nenda kwenye hii threadMkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist, kwanza asante kwa taarifa hii.
Baada tuu ya kuipokea hii, mimi mbio the Citizen Kenya nikashuhudie!.
Nikaamua kabla ya kwenda Kenya, nikaamua kupita mahali..., kwani Kenya kuliendeka!. Nilikutana na "jicho ona", safari yangu ikaishia pale!.
Tupe feedback, nini kilijiri, maana ...
P
Asante nimekwendaNenda kwenye hii thread
Thread 'Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu' Kenya 2022 - Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu
updates tafadhali .Wengine hatuna bando wala tv.Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Tanzania mtaonyeshwa LIVE MIKUTANO ya CCMWapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni