johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Wameshakubaliana utaratibu wa kuendesha Kesiupdates tafadhali .Wengine hatuna bando wala tv.
Kenya is a full democratic country.Wapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
sawa.Wameshakubaliana utaratibu wa kuendesha Kesi
So Kesi itaanza kusikilizwa Kesho saa 3 asubuhi na Hukumu itatolewa Jumatatu
Sasa mbona manyumbu ya ufipa yalikuwa yanalalamika kuwa vasco da gama ni dhaifu?...Tanzania ya demokrasia mara ya mwisho tuliiona wakati wa JAKAYA KIKWETE.
Hapa bongo ukirekodi proceedings live unapigwa kifungo cha bila kujitetea hapo hapo(summary judgement) kwa kuidharau mahakama ( contempt of the court) lakini ukiwakuta kwenyè semina wanafafanua common law doctrine of open court kuwa "Justice should not only be done but should manifestly and undoubtedly be seen to be done"" utadhani ni watu wawili tofautiWapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Nenda kwenye hii thread
Thread 'Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu' Kenya 2022 - Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu
Kwahiyo hata lugha kwako unadhani ni bora Kenya kutumia lugha ambayo zaidi ya 50% ya wakenya hawaielewi vizuri na bado unadhani huo ndio uwazi na sio kujidhalilisha wenyewe?Thubutu! Tanzania tumezoea giza, hii ya kesi kuendeshwa mubashara kwa kweli wanazidi tu kutudhalilisha tulivyo nyuma katika dunia ya uwazi!
Halafu kama vile kuongeza chumvi kwenye kidonda, kesi yenyewe inaendeshwa kwa lugha ileeee! Kwa Mtanzania, lugha lileee ni usiku wa giza.
Cha kufurahisha nasikia aliyewahi kuwa Jaji wetu Mkuu, Jaji Mohamed Chande Othman, yuko ndani ukumbini anafuatilia, labda atatupa mrejesho!
Any Smoking gunWapenda demokrasia mnaweza kufuatilia kupitia Citizen TV. Tofauti na kesi hii ya Halima Mdee na wenzake MMM anasikiliza halafu ndio anatusimulia!
Mungu wa mbinguni awabariki.
Updates;
Itaendelea tena saa 10 jioni
Kwahiyo hata lugha kwako unadhani ni bora Kenya kutumia lugha ambayo zaidi ya 50% ya wakenya hawaielewi vizuri na bado unadhani huo ndio uwazi na sio kujidhalilisha wenyewe?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app