paul claud
Member
- Jul 29, 2013
- 8
- 1
Hapa sio swala la kubishana nan ni nan barubaru ila tunaongelea uhal¨¬sia zanzibar ya sasa inawekwa na muungano vinginevyo nje ya muungano zbar itakua somalia mpya ,ubaguzi mnaendesha zid ya wenyewe kwa wenyewe n¨¬ kiashiria tosha kuwa muungano ukifa tu pemba watataka nchi yao unguja nao vivohivyo.Lakin kwasasa wenyewe aa safi kwel maana mnajifanya wamoja heti mnadai nchi yenu ya zbar ni zbar gan hiyo mnayoidai kama mpemba na muunguja hawakai pamoja? Acha kujidanganya kama ilifikia kubaguana hata kwenye mazishi heti mpemba amzike mpemba mwenzake na muunguja naye hivyo hivyo.Matatizo ya bara hayawez kusababisha heti tubaguane ,kama kwel unataka alshababu wapya waibuke pinga muungano ,kwan somalia kuna wakiristo lakn mbona wanazichapa kila siku?,kuwa na dini mbili sio kwamba ndo watu wazichape,mbona pakistan na afghanstan wanapigana na wote waislam?,kuhusu ukabila bara hiyo ndoto kwasababu hapa nilipo mim n¨¬ mpare na mke wangu mnyamwez sasa nan apigane,tafta lingine zbar ubaguz nje nje