Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
wapi hukoHapana mkuu. Maendeleo ni mchakato na kuna uwezekano kutokana na mbinyo unaoendelea sasa, watu wakaamka na kudai haki zao kwa nguvu
Wakenya hawakuipata hiyo haki na demokrasia kwenye sahani ya dhahabu.Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.
Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
Tatizo tanzania ni rushwa yaani katika mhimili uliokaa kidhulumati ni ukienda mahakamani ni mtu mwenye pesa basu ujue hata kama unaushahidi kwa 200% hushindi1Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.
Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
wapi huko
I have seen real battle....NASA lawyer impressed me.........Hii kesi ina mvuto sana..
Television za CITIZEN,KBC, K24 na KTN zipo Live from the SUPREME COURT of Kenya.
Kikao kinaanza saa 1 kamili.
Kikao cha leo ni cha kupanga mikakati kabla ya usikilizwaji rasmi Kuanzia jtatu 28/08.
Hawana kesi hawa watapoteza tu.Baadaye utaona wakiuliza mazungumzo ,mara wanataka kura mpya ya maoni ,mara nyingine wataanza mikutano ya "Okoa Kenya" ...hawa watu hawakosi vijisababu vipya.I have seen real battle....NASA lawyer impressed me.........
Battle continue tomorrow 3:00PM