Kesi ya kuupinga urais wa Uhuru Kenyatta mahakamani

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,262
Reaction score
1,773
Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.

Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
 
Hapana mkuu. Maendeleo ni mchakato na kuna uwezekano kutokana na mbinyo unaoendelea sasa, watu wakaamka na kudai haki zao kwa nguvu
 
Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.

Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
Wakenya hawakuipata hiyo haki na demokrasia kwenye sahani ya dhahabu.
 
Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.

Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
Tatizo tanzania ni rushwa yaani katika mhimili uliokaa kidhulumati ni ukienda mahakamani ni mtu mwenye pesa basu ujue hata kama unaushahidi kwa 200% hushindi1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kesi ina mvuto sana..
Television za CITIZEN,KBC, K24 na KTN zipo Live from the SUPREME COURT of Kenya.
Kikao kinaanza saa 1 kamili.
Kikao cha leo ni cha kupanga mikakati kabla ya usikilizwaji rasmi Kuanzia jtatu 28/08.
 
I have seen real battle....NASA lawyer impressed me.........
Battle continue tomorrow 3:00PM
 
Hawana kesi hawa watapoteza tu.Baadaye utaona wakiuliza mazungumzo ,mara wanataka kura mpya ya maoni ,mara nyingine wataanza mikutano ya "Okoa Kenya" ...hawa watu hawakosi vijisababu vipya.
 
Back
Top Bottom