Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Leo, muda huu Mahakama Kuu nchini Kenya inasikiliza shauri la kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Uhuru Kenyatta. Natumaini kuna cha kujifunza kuhusu demokrasia, uhuru wa mahakama na dhana nzima ya katiba bora tutaiona hapa. Kila siku tunacho cha kujifunza kutoka taifa hili lenye nguvu kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki.
Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia
Kila la heri waKenya kwenye kutufunza demokrasia