Mamluki wa Ubeligiji.
Kuweni makini sana CHADEMA.
Wewe ndiye aliyeshika mguu?Pichani pale wewe ni lile bonge?
CCM mbona mnateseka?? Mwamba kumbe alikuwa dalali wenuUnakumbuka makala alisema huko mbele chadema watapaluana
Haya endeleeni kupaluana
Shindeni mechi zenu
Wewe ndiye aliyeshika mguu?
Huna akiliMamluki wa Ubeligiji.
Kuweni makini sana CHADEMA.
John Mallya ni CHAWA wa MBOWE.Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:
View attachment 3302560
Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!"
Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa kila Tom na Joni, pichani dhidi yetu:
View attachment 3302561
Ninawasilisha.
Huna akili
aise! wamejuaje lisu Hana ofisi
Kwamba ,John Kwa kuwa ndo kaandika walaka WA kijinga huo uliokotiwa kwa KESI ya kijinga hiyo ndo akili? ndomana lisu alijibu huo uasi lazima ufanyike
Kwamba,kwakuwa John na wezake wanahiyo ofisi iitwayo MATWIGa ndo akili?
Poleni sana
Namkumbuka Lema wakati anatangaza kutomuunga Mbowe mkono na kumuunga Lissu mkono kwa ajili ya usalama wa chama na demokrasia ya nchi,aligusia hulka ya wachaga na kusema inabidi avunje uchaga kwa Mbowe.
Kuelewa hilo katazame wale wanaoongoza kumpinga Lissu leo, John Mrema, John Mallya, Boniface Assenga na hata Mbowe mwenyewe mpaka leo kakaa kimya hata kutoa tamko la kupinga Lissu kupewa kesi ya uhaini!!
Wachaga ni watu wa ajabu sana kwenye maslahi yao, fedha na umoja wao mbele kuliki maslahi mapana ya umma!!
Brazaj excuse me!Inasikitisha sana.
Ngoja niwaite washirika: imhotep, binti kiziwi, Drlfter, Joka Mkuu, Joni waliomo na wasiokuwamo kwa utambuzi.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Inasikitisha sana.
Ngoja niwaite washirika: imhotep, binti kiziwi, Drlfter, Joka Mkuu, Joni waliomo na wasiokuwamo kwa utambuzi.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.
..huyo uliyemnukuu anapaswa kuwalaumu waliomkamata TAL na sio kulaumu Wachagga.
Hili sio swala la CHADEMA tena hii ni agenda ya Watanzania wote,Inasikitisha sana.
Ngoja niwaite washirika: imhotep, binti kiziwi, Drlfter, Joka Mkuu, Joni waliomo na wasiokuwamo kwa utambuzi.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.