PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hili sio swala la CHADEMA tena hii ni agenda ya Watanzania wote,
View attachment 3302639
View attachment 3302640
na uzuri ni kwamba sasa Watanzania wameshajua nani ni Wapinzani wa kweli na nani ni "Wapinzani Ruzuku"

Wapinzani ruzuku hao walijulikana kitambo.

Hoja hapa nani ni nani katika utetezi Lissu mahakamani au kwenye mapambano kama huyu wakili msomi ndiyo kama hivi?

Je vipi wale wenzake? Vipi tusiowajua?

Kuna kutoboa kweli hapa?
 
Usujali Maji na Mafuta huwa vinajitenga lakini Lissu ataibuka mshindi kwenye hili ndio mjue tumemchagua mtu sahihi kuongoza mapambano.

View: https://youtu.be/PfwdLfDqk0k?si=qK-O7kZaGW-WbAB6
 
Maneno ya faraja haya CHADEMA inapoibuka bila chawa.

Chama sasa hakina chawa - wamestaafu na mwamba, kimya kimya.

Hiiiii .. iiiii.. iii!

Aluta continua!
Lakini umemsikiliza Amani Golugwa anasema Watanzania wanajiunga na CHADEMA kwa maalfu watu wengi wanajiunga na Chama sasa kuliko wakati mwingine wowote.👈inamaanisha sasa Watu wanaona CHADEMA kiko kwenye right direction.
 
Namkumbuka Lema wakati anatangaza kutomuunga Mbowe mkono na kumuunga Lissu mkono kwa ajili ya usalama wa chama na demokrasia ya nchi,aligusia hulka ya wachaga na kusema inabidi avunje uchaga kwa Mbowe.

Kuelewa hilo katazame wale wanaoongoza kumpinga Lissu leo, John Mrema, John Mallya, Boniface Assenga na hata Mbowe mwenyewe mpaka leo kakaa kimya hata kutoa tamko la kupinga Lissu kupewa kesi ya uhaini!!

Wachaga ni watu wa ajabu sana kwenye maslahi yao, fedha na umoja wao mbele kuliki maslahi mapana ya umma!!

Wewe acha mambo yakoo sio wachaga wote tuna mambo ya ajabu.

NRNE
 
Hili sio swala la CHADEMA tena hii ni agenda ya Watanzania wote,
View attachment 3302639
View attachment 3302640
na uzuri ni kwamba sasa Watanzania wameshajua nani ni Wapinzani wa kweli na nani ni "Wapinzani Ruzuku"
Picha iko wazi sana sasa. Lakini hawa wanadhani kwamba bado picha lao halieleweki? Busara Feki na Ulaghai halisi vimekutana katika "MARIDHIANO", matokeo yake ndiyo haya sasa!
 
Namkumbuka Lema wakati anatangaza kutomuunga Mbowe mkono na kumuunga Lissu mkono kwa ajili ya usalama wa chama na demokrasia ya nchi,aligusia hulka ya wachaga na kusema inabidi avunje uchaga kwa Mbowe.

Kuelewa hilo katazame wale wanaoongoza kumpinga Lissu leo, John Mrema, John Mallya, Boniface Assenga na hata Mbowe mwenyewe mpaka leo kakaa kimya hata kutoa tamko la kupinga Lissu kupewa kesi ya uhaini!!

Wachaga ni watu wa ajabu sana kwenye maslahi yao, fedha na umoja wao mbele kuliki maslahi mapana ya umma!!
Umenena mengi, pamoja na kutopenda kulaumu kabila zima kwa matendo ya baadhi yao.

Sasa tuanze kujiuliza upya, ni nani aliyemwondoa uhai mzee Ally Kibao?Hili ni swali linalohitaji majibu sasa, pamoja na kuwa kuliahidiwa uchunguzi wa haraka!
 
Swali la kujiuliza- Mzee Kibao alikua hajulikani kabisa na sio mtu wa majukwaa wala mitandao na wala kusema mtu wa maneno makali- je nani aliemuuza kua anatoka ofisi za CHADEMA na anapanda basi la Tashrifu?!!

Wakati G55 wanaitisha press unakumbuka John Mrema alisema kususia na kuzuia uchaguzi ni uhaini/jinai?!! Kilichofuata bada ya wiki moja Lissu kapewa kesi Gani?!! Was just a coincidence?!!
 
Huna maoni yoyote kumhusu wakili msomi huyo au wa aina yake?

Tukomae na mtoa maoni au na tulioamini ni wetu na wanatuvuta nyuma hivi?

..huyo wakili msomi na wenzake 54 bado wana hasira za kushindwa uchaguzi.

..walipaswa kuvunja kambi yao na ku-support uongozi mpya hata kama hawawapendi baadhi ya waliochaguliwa.

..mambo ya uongozi hayataki mhusika aendekeze mambo binafsi, kinachopaswa kuzingatiwa ni maslahi ya chama.

NB:

..sikubaliani ni mtizamo wa wakili msomi dhidi ya kiongozi wake.
 
Huyu ni mmoja unaiona mada ikiitisha angalizo la usalama dhidi ya mamluki?

WA aina huyu, vipi wasomi wengine tuliokuwa tukiwatumai mno?
 
Good kama wewe huna,ila mostly ni hivyo,anzia hata Mrema Lyatonga,kawaangalie na leo wanaosumbua CHADEMA uanze na Mbowe baada ya kushindwa!!

Kwani Lema ni kabila gani?
 
Namkumbuka Lema wakati anatangaza kutomuunga Mbowe mkono na kumuunga Lissu mkono kwa ajili ya usalama wa chama na demokrasia ya nchi,aligusia hulka ya wachaga na kusema inabidi avunje uchaga kwa Mbowe.

Kuelewa hilo katazame wale wanaoongoza kumpinga Lissu leo, John Mrema, John Mallya, Boniface Assenga na hata Mbowe mwenyewe mpaka leo kakaa kimya hata kutoa tamko la kupinga Lissu kupewa kesi ya uhaini!!

Wachaga ni watu wa ajabu sana kwenye maslahi yao, fedha na umoja wao mbele kuliki maslahi mapana ya umma!!
Henry KILEO, Patrick ASENGA,Emma KIMAMBO, Lillian KIMEI, Gervais MGONJA,Boniface KIMARIO, John MREMA, John MALLYA
 
Kweli kabisa

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg
 
Back
Top Bottom