The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury.
Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima itawashangaa. Kwa sasa ngoja tusubiri closing tuone. Tunawapa benefit of doubt.