Kesi ya Lissu: Majaji wanaweza kuwa na hukumu yao na sisi JURY tukawa na hukumu yetu.

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,900
Reaction score
18,751
Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury.

Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima itawashangaa. Kwa sasa ngoja tusubiri closing tuone. Tunawapa benefit of doubt.
 
Hiyo kesi sisi tulishatupilia mbali tangu mwanzo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…