GE2025 Kesi ya Lissu Oktoba 8, 2025: Mchuano wa Maswali kati ya Lissu na Shahidi wa Jamhuri

GE2025 Kesi ya Lissu Oktoba 8, 2025: Mchuano wa Maswali kati ya Lissu na Shahidi wa Jamhuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
George : Kuzuia uchaguzi, vitisho kwa serikali basi sikusema neno moja moja. kwahiyo sikutoa tafsiri ya neno uasi.

Mhe. Lissu : Je katika hati ya mashitaka ninayoshtakiwa nayo kuna ufafanuzi wa neno tutahamasisha uasi?

George: Huo ufafanuzi upo.

Mhe. Lissu : Sasa tuambie upo wapi? Hapo kwenye hati ya mashitaka? Nakusomea hati ya mashitaka ilivyosema? Neno uasi limetajwa mara mbili. Je kuna mahali kokote imeandikwa?

George: Uasi ilitafsiriwa.

Mhe. Lissu : Una akili timamu wewe afisa wa polisi?

George: Nina akili timamu ndio maana ni afisa wa Polisi.


Mhe. Lissu : unaweza kuwa afisa wa polisi nchi hii na ukawa huna akili timamu.


Part 67 itaendelea kwenye post inayofuata

Naomba repost yako kwenye tweet hii
Hapo kwenye bold, TL alishindwa kumvumilia kabisa shahidi wa Nassoro Katuga🤪🤪

Huyu George kajionesha wazi kuwa kweli "hana akili timamu" ndio maana anaenda mahakamani kutoa ushahidi wa uongo...!

Haya mambo hufanywa na watu vichaa na wasio na akili timamu tu, Afande George na Nassoro Katuga na wenzake hawana akili timamu...!!
 
Back
Top Bottom