Itaisha namna ilivyopangwa tokea inaanzishwa.Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?
Kwa kuzingatia mtazamo kwamba Mahakama ni dhaifu, je, itatoa mwanya wa kuifanya ionekane serikali imepoteza pambano?Lissu atashinda na kuwaacha watu midomo wazi.
Kesi itafutwa na upande wa mashtaka, sio mahakama, mahakama haitapata hata nafasi ya kuonekana imeiangusha serikali. DPP ataingia kati na kuondoa kesi kabla ya hukumu.Kwa kuzingatia mtazamo kwamba Mahakama ni dhaifu, je, itatoa mwanya wa kuifanya ionekane serikali imepoteza pambano?
Ngoja tuone mwisho wa huu mchezo.Kesi itafutwa na upande wa mashtaka, sio mahakama, mahakama haitapata hata nafasi ya kuonekana imeiangusha serikali. DPP ataingia kati na kuondoa kesi kabla ya hukumu.
Sahihi Mkuu.Ngoja tuone mwisho wa huu mchezo.
Hili nalo bado unalifanyia "utabiri"?Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?
Kesi hii nafikiri itaishia katika ngazi ya rufaa. Majaji katika shauri lililopo Mahakama Kuu si rahisi kukubaliana na hoja za upande wa utetezi ama kupinga zile zilizoletwa na upande wa mashtaka.Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?