Kesi ya Liyumba: Naibu Gavana aibua mambo mazito



Nikifikiria upande wa hoja zako, naona kuliko waendelee kupoteza muda na fedha zaidi za walipa kodi ni bora wamuachie huru huyo Liyumba tujue moja.

This is a disgrace.
 

Nakubaliana na wewe kabisa katika hilo kaa ukijua kuwa voting rights zinategemea vilevile na aina ya wajumbe wa bodi waliomo humo ndani. Hivi unajua wajumbe wengi wanaingia katika bodi ya BOT kama washauri na watazamaji? Mfano Katibu wa Wizara ya Fedha (Bara na Visiwani) hawa wanaingia ndani ya bodi but hawana voting rights. Wanabakia baadhi ya wale walioteuliwa na gavana na gavana mwenyewe na manaibu wake.

Ishu inakuja vipi kweli unadhani wale ambao wameteuliwa na gavana watamvote hapana gavana. Unadhani next time watateuliwa tena kuwa wajumbe. Vile vile kaeni mkijua kuwa hakuna nomination committee ndani ya bodi ya BOT hivyo basi ni bodi inachagua wajumbe wapya sasa nadhani unaouona mchezo unaocheza hapa wa paka na panya unadhani pana mabadiliko yeyote.

Ndio maana nikasema kuwa naungana na Prof Chachage na Wangwe waliowahi kusema gavana wa BOT ana powers nyingi ndani ya bodi but no one listens to them. Swali tujiulize hivi ni kwanini? Unakuta anaefaidika na rais, waziri na gavana mwenyewe as well as the ruling party. Kwa sababu gavana anajifanyia anavyotaka akijua atalindwa and that is what happened to Balali incidence alidhani atalindwa wakamgeuka.
 
since the case started, upande wa mashtaka(serikali) umejifanya hamnazo kwani kila siku wao wamekua wakitoa majibu ambayo hata mwendawazimu anajua mshtakiwa atashinda kesi, sasa kama liyumba kashtakiwa kwa kuisababishia serikali hasara ya bil 226 izo figure zilitoka wapi kama ripoti ya ukaguzi wa hesabu wa mradi haijatoka? uyo dpp hadi amelipeleka faili mahakamani alipata wapi data za hasara ya bil 226? uu ni usanii na kesi apo hamna ila gadhabu inanipanda kwa sababu gharama za mishahara ya mahakimu inalipwa bureeeeeeeeeeee maana mwisho mtaambiwa ushahidi haujitoshelezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…