S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 85
Hivi matumizi mabaya ya fedha lazima yalete hasara? Nadhani hapa issue si hasara (ambayo itakuwa ni vigumu ku-prove maana si jengo la biashara) bali matumizi ya fedha nje ya matarajio. Mategemeo yalikuwa kupata jengo kwa kiasi fulani badala yake wamelipata kwa mara nyingi zaidi. Atafutwe nani amesababisha ongezeko hilo. Ni wabunifu majengo na wenzao? Ni mkandarasi? Au ni mshitiri? Kuwa jengo limegharimu zaidi ya bajeti halina ubishi. Sasa tuambiwe kwa nini imekuwa hivyo.
Amandla..........
Nikifikiria upande wa hoja zako, naona kuliko waendelee kupoteza muda na fedha zaidi za walipa kodi ni bora wamuachie huru huyo Liyumba tujue moja.
This is a disgrace.