Mkuu mkandara nafikiri atakuwa katereza kidogo...kwa hiyo jk sio rais wa kwanza katika historia kumpeleka kiongozi wa juu kwa pilato.
lakini kulingana na record ya nchi yetu hakuna kionmgozi ambaye amewahi kufanya alofanya Kikwete - Kuwapeleka mawaziri na viongozi wa ngazi za juu ktk sheria...
Huna haja ya kuniaminia wala huna haja ya kuupongeza uwezo wangu wa kufikiri.
Hivi unadhani movie ni live event? Ama we unafikiri mafisadi wakipanga wanapanga kama wewe? We hujui kuna mipango ya kisiasa,na mwenye kutunga movie anajuwa mwisho wake kabla hata hujajuwa title yake, sasa wewe ndio uko theatre.
Kama alivyosema MKJJ kuwa uamuzi ni kuchagua,sasa nani alichaguwa Liyumba atoroke?
Tunapenda laini laini sana,shirikisha ubongo wako la sivyo utapitwa na mjadala,na kama umepitwa na mjadala take your time and read through. Na kama hujaelewa si lazima uchangie saa hiyo hiyo...Nenda kalale kesho unaweza ukaamka umeelewa.
Waungwana near the scene!!!!!!!!!!!
Is Liyumba still at large? new development pls??
They got him? Mbona TBC saa mbili usiku wamesema hajaonekana?mwenzenu keshanaswa jana usiku hamsikii tu..
They got him? Mbona TBC saa mbili usiku wamesema hajaonekana?
wanaojua hilo wachache... Hawawezi kutangaza wanaye wakati mahakama imempa dhamana. Kesi yake ni Jumanne.. atakuja mwenyewe na mtashangaa hakuna lolote watakalofanya.
....nilishaacha kushangaa siku nyingi nchi hii😕kwani itabidi nishangae tu kila siku. Kwa Nchi yetu kila kitu kinawezekana, even the unexpected😕
wanaojua hilo wachache... Hawawezi kutangaza wanaye wakati mahakama imempa dhamana. Kesi yake ni Jumanne.. atakuja mwenyewe na mtashangaa hakuna lolote watakalofanya.
Mzee Mwanakijiji,
Si mahakama ilitoa amri ya kumkamata baada ya yeye kutojitokeza? Kama hivyo ndivyo, iweje basi useme hawawezi kumkamata wakati amepewa dhamana?
Sio lazima kuchangia kila kitu. Soma, elewa, tafakari, halafu toa hoja. Hivi ndugu yangu kati ya vigogo wote wenye kesi za ufisadi mahakamani ni kwa nini iwe ni Liumba tu ndio atoroshwe, tena kwa mtindo huo wa kipumbavu hivyo? Jaribu kujiuliza maswali magumu kabla ya kutoe hisia zako za chuki. Otherwise utabaki kuanika udhaifu wako tu hapa, na kuzidi kujidharaulisha mbele za watu.
wanaojua hilo wachache... Hawawezi kutangaza wanaye wakati mahakama imempa dhamana. Kesi yake ni Jumanne.. atakuja mwenyewe na mtashangaa hakuna lolote watakalofanya.
Nilichokwambia wewe na wewe unageuka unaniambia the same thing, changia hoja acha kufata fata watu....Sio lazima uchangie everything,sometimes mie hutoa asante tu na kusoma kwani kuna wengi tu tunashare same ideas so no point ku type,hivyo nakuelewesha kuwa huwa sichangii tu kila thread nyingine huwa nasoma tu.... Eti kujidharaulisha mbele za watu.... Tunajadili issue hapa na nashangazwa kwanini unawaka kisa eti tunasema JK yuko responsible. Hisia za chuki nilizotoa ni zipi hizo? Eti ametoroshwa kwa mtindo wa kipumbavu....Ndio maana nikasema si lazima u type tuu! Kalale ukiamka utaelewa trust me.
mwenzenu keshanaswa jana usiku hamsikii tu.
Yeye peke yake hawezi kufanikiwa bila kukamatwa, vinginevyo vyombo vya dola, Mahakama ikiwemo vinahusika.