Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwanachama wa CCM?
Oh yeah...Kikwete hayumo. Ni wengine tu....yeye yuko squeaky clean....my ass, that is!
Kwa kweli Bubu uliyoyasema hapa yafaa kutekelezwa maana kama huyo bwana amekimbia tumeanza kuingiwa na hofu juu ya wengine iwapo nao hawatakimbia, lakini kakimbilia wapi passport yake si alikabidhi?Duh!!! Kama ni kweli hii basi mafisadi wote warudishwe rumande haraka sana wakiwamo wale wa EPA na akina Mramba.
N.Ngabu,
unampaje mkulu hati safi hivyo........? Benefit of dought?
Tena huko hana wasi anajikamulia taratiibu.......Naona Mkulu Liumba ameishia na totoz kadhaa kujificha nazo uswazi!
lakini kwani jamaa wakati anadhaminiwa hakunyang'anywa paspoti yake ?
Tena huko hana wasi anajikamulia taratiibu.......
Kuna post fulani Mwanakijiji amesema kuwa kupanga ni kuchagua (of course amemquote Nyerere))